Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi
#MwananchiUpdates

Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
Hakuwa kiongozi wa chadema? Maana ukiwa chadema wewe ni malaika kama Lema
 
siamini kama kuna kina kirefu kuliko cha serikali?
wauza madawa ya kulevya ni majambazi hatari sana.....tuwafichue wote.
Hivi vita vya madawa si kama vya majambazi. Akili kubwa sana inahitajika maana watengenezaji wake wana nguvu za dola za kidunia, wafanyabiashara wake wana nguvu za dola za kimataifa, ukikaa vibaya unaishia kukamata dagaa tu. China pamoja na kunyonga wasafirishaji bado watu wanapitisha.
 
ndo imeshindikana sasa.ile tani 1,ilikuwaje ikaripotiwa gm 500!?
 
Moro pale darajani umesahau?
Miseyo pale kuna wezi majambaz huwa wana mwaga mafuta njiani..ukipita speed lazima uingie chaka
Wami kwa mbele pia kwenda tanga kuna kijiji
Fulani watu wote wezi waporaji hapo
Uhalifu ni shida

Ova
 
Hivi vita vya madawa si kama vya majambazi. Akili kubwa sana inahitajika maana watengenezaji wake wana nguvu za dola za kidunia, wafanyabiashara wake wana nguvu za dola za kimataifa, ukikaa vibaya unaishia kukamata dagaa tu. China pamoja na kunyonga wasafirishaji bado watu wanapitisha.
Unafikiri majambaz ni wengi polisi wakiamua kuwatuliza siku 4 tu wanapotea

Ova
 
Wezi wa kwenye treni wale wakuiba mizigo
Tabora kulikuwa na watu wa kazi hasa
[emoji23][emoji23]

Ova

Mikoa Tanzania inayoongoza kwa kuzalisha majambazi Tabora ilisababishwa na makambi ya wakimbizi wa burundi ambao waliingia na silaha za moto wakawaambukiza wenyeji, udokozi wa kwenye treni tabora iliongoza hadi uvinza na nguruka na hadi leo wadokozi tabora stand wengi mno, Mbeya ina idadi kubwa ya majambazi hata ukifika keko wahuni wengi watu wa Mbeya, Mara ni kama mbeya wao hasa tarime waliathiriwa na mipaka yao ya nchi jirani hivo wakaanza umafia mapema, Arusha Na Moshi hawa walianzia kwenye dili za magendo ya kenya, plus mrungi mixer kuvamia wachimbaji wengine kujifanya wanaapolo kumbe majambazi yaliokubuhu, ukimaliza hapo mikoa mingine mchele mchele tu na kigoma kwa mbali majambazi huingia kutokea Burundi na kutema magari na uvamizi lakini wanashirikiana na wenyeji
 
wale siku zote hulala upande wa kuichafua serikali na nchi yetu kwa kivuli cha uhuru wa vyombo vya habari
Kwahiyo unakubaliana na polisi kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA ndo walimuua Akwelina?
 
Mikoa Tanzania inayoongoza kwa kuzalisha majambazi Tabora ilisababishwa na makambi ya wakimbizi wa burundi ambao waliingia na silaha za moto wakawaambukiza wenyeji, udokozi wa kwenye treni tabora iliongoza hadi uvinza na nguruka na hadi leo wadokozi tabora stand wengi mno, Mbeya ina idadi kubwa ya majambazi hata ukifika keko wahuni wengi watu wa Mbeya, Mara ni kama mbeya wao hasa tarime waliathiriwa na mipaka yao ya nchi jirani hivo wakaanza umafia mapema, Arusha Na Moshi hawa walianzia kwenye dili za magendo ya kenya, plus mrungi mixer kuvamia wachimbaji wengine kujifanya wanaapolo kumbe majambazi yaliokubuhu, ukimaliza hapo mikoa mingine mchele mchele tu na kigoma kwa mbali majambazi huingia kutokea Burundi na kutema magari na uvamizi lakini wanashirikiana na wenyeji
Ni kweli
 
Nili cmnt khsu hiyo tabora watu wanafikiria nafanya utani humu
Kigoma napo balaa kna mzee mmja mtu wa kigoma sahv tajiri ila zamani alifanya sana umafia kupora had mizigo ya kwenye treni

Ova
 
Morogoro wao ni utapeli, Unga, na kuzamia kwenda south na ulaya, waluguru sio makatili wao wanajua majungu, fitna na uchawi labda na jando na unyago na ngono zembe
Mmmm hapo tena ila warugulu kwa kwa makini wakovizuri
 
Unafikiri majambaz ni wengi polisi wakiamua kuwatuliza siku 4 tu wanapotea

Ova
Kwamba unawajua si bure utakuwa mmoja wao maana hata kwenye mada za madawa upo vizuri kwenye ufafanuzi wauza madawa wote wa Dar unawajua.
 
Back
Top Bottom