Mikoa Tanzania inayoongoza kwa kuzalisha majambazi Tabora ilisababishwa na makambi ya wakimbizi wa burundi ambao waliingia na silaha za moto wakawaambukiza wenyeji, udokozi wa kwenye treni tabora iliongoza hadi uvinza na nguruka na hadi leo wadokozi tabora stand wengi mno, Mbeya ina idadi kubwa ya majambazi hata ukifika keko wahuni wengi watu wa Mbeya, Mara ni kama mbeya wao hasa tarime waliathiriwa na mipaka yao ya nchi jirani hivo wakaanza umafia mapema, Arusha Na Moshi hawa walianzia kwenye dili za magendo ya kenya, plus mrungi mixer kuvamia wachimbaji wengine kujifanya wanaapolo kumbe majambazi yaliokubuhu, ukimaliza hapo mikoa mingine mchele mchele tu na kigoma kwa mbali majambazi huingia kutokea Burundi na kutema magari na uvamizi lakini wanashirikiana na wenyeji