Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

Wadau ujambazi ndio unamalizwa kwa njia hiyo ,kiukweli ukiachilia ile ya Zombe ya kupora wafanyabiashara baada ya hapo polisi wamekuwa makini sana kuua na kusingizia watu majambazi maana wanajua wakiua mtu ambaye sio jambazi kweli inaweza ikaback fire.

Hivyo hao wanaouliwa sasa 99% wanajihusisha na uhalifu ndio maana hauwezi kuta mtu decent akasingiziwa ujambazi ,ukitumia mbinu ya kuwapeleka mahakamani watu wa namna hiyo hauwezi kutatua tatizo la ujambazi,,,,,Jambazi dawa yake ni kula chuma tu ,wakila vyuma majambazi kadhaa lazima wataachana na hiyo kazi.

 
Sasa inatakiwa taarifa kama hizi mfululizo wiki nzima tena mikoa tofauti,..

Pm nae adeal na ofisi za umma mwezi mzima n mwendo wa kutimua tu.

Raisi adeal na aliowateua wenye mapungu mwezi mzima....

Tunarudi kwenye mstari..... Maisha yanaendelea kuna kauzembe kametomea hapa kati.
 
Nishamfaham uyo mtu
 
Tunategemea pia msako wa wauza madawa ya kulevya unaendelea, sisi wananchi tumejitolea kuwafichua wale wote.
Kimsingi hakuna tofauti kati ya Wauza madawa ya kulevya na Majambazi
Madawa? Thubutuu
 
Hiyo n kwel majambaz wengi n wachawi knoma ili wamdake na wao huwa wanaenda kwa waganga
 
Ndio maaana tuna kikosi maalum cha kupambana na wauza madawa na pia uzuri ni kwamba vita ya kupambana na wauza madawa ya kulevya inawashirikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama, naamini endapo tutashirikiana basi wauza madawa ya kulevya nchini Tanzania hawawezi kuwa na guvu zaidi ya Serikali.
 
ndo imeshindikana sasa.ile tani 1,ilikuwaje ikaripotiwa gm 500!?
wewe jidanganye, kwa sasa usijaribu kina maji hata kidgo! kama una ndugu, jamaa au rafiki mkataze mara moja, moto ulio washwa awamu hii ni hatari sana.
sio kama ilivyo kuwa hapo nyuma....sasa kuna teamwork ya hatari sana haijawahi kutokea.
 
MAJAMBAZI MENGI HUPENDA KUJIFICHA PEMBENI MWA MIJI,CHANIKA,MBEZI,MKURANGA NA N.K.
usiishie tu kutaja maeneo ni vizuri pia ukafichua majina ya Majambazi ktk eneo lako kupitia namba ya kamanda husika wa mkoa wako.

Kuna kampeni ya kutokomeza ujambazi na wauza madawa ktk Jiji la DSM na Viunga vyake.

kwa moto ulio washwa hapa Dar naamini wataanza kuondoka kuelekea mikoani, tunaomba mikoa mingine pia wawashe moto mkali.
 
Hizi ndo habari napendaga kuzisikia,sio zile za polisi wakamata majambazi.Jambazi unamkamata ili iweje!

Jambazi ‘anyang’anywe silaha’ hiyo ndo dawa yao, na juzi kati kamanda Wambura kasisitiza hilo, nadhani wameshaanza ‘kunyang’anywa’mmoja mmoja
 
Termination = permanent cure for a troublesome to the society.

Isolated from the society to hell.

Good job jeshi la polisi if the deceased was really bandit!!

-Kaveli-
Lesson 101: kwenye ujasusi...Jina la mtu liki appear zaid ya mara5 kituoni kwa tuhuma za wizi/ujambazi...dawa ni Moja tu Isolate him/her to hell
Ova
 
Juzi nasikia mitaa ya studio upande wa kama unaelekea moroco,watu wameua jambazi/mwizi
Alivamia nyumba huko issue ikabuma
Watu biashara wamemaliza pale pale

Ova
Safi tu mwizi sio wa kumuachia coz kwenye kuiba kwao sometimes huwaga wanaua pia
 
siamini kama kuna kina kirefu kuliko cha serikali?
wauza madawa ya kulevya ni majambazi hatari sana.....tuwafichue wote.
Tatizo wauza madawa ya kulevya sio watu wachovu, ni watu wakubwa na wenye heshima kubwa kwenye jamii yetu. Yaani hata wakitajwa watu mtashika midomo kwa mshangao na kwasababu wanaheshimika sana hamta amini kama kweli ni wauza madawa badala yake mtaanza kuwatetea na kisha kumshambulia yule aliye wataja kuwa ndio mtu mbaya.
Wanaharakati wataibuka kila kona kisa tu katajwa fulani na hata Kama akikamatwa nayo bado watu watakuja tu nakusema kuwa kabambikiwa kwasababu ya chuki binafsi.

Wauza madawa ni hao hao wafanya biashara wakubwa ambao wakitajwa huto amini, wachungaji, mashekh, wasanii, wanasiasa wakubwa n.k

Utawaambia watu mchungaji wao ni muuza madawa nani atakuamini mfano ( ni mfano tu nisieleweke vibaya) umtaje Mtu Kama Mwamposa, Askofu Mwamakula n.k we unadhani waumini wake maelufu watakuamini kweli?

Umtaje MO eti anauza madawa nani atakusikiliza wana Simba wote watakuvamia kumbuka kilicho tokea kwa Manji.

Umtaje mwanasiasa Kama Zitto, Mbowe, Makamba, Nape n.k eti wanauza madawa weee hiyo kesi hutoiweza utapopolewa mawe nchi nzima hakuna atakae kuamini.

Ila ukweli unabaki kuwa ukweli kwamba hakuna mchovu mlalahoi wa tandale kwa mtogole mwenye uwezo wa kusafirisha madawa kutoka Colombia kuyaleta bongo hayupo. Wanao fanya hivyo ni watu wenye pesa zao, wafanya biashara, watumishi wa mungu tunao waamini, viongozi wakisiasa na wasanii wenye majina makubwa ambao ni vipenzi vya mamia ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…