Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

Mimi huwa nashangaa sana sijui watu weupe walitufanyaje hadi tunajidharau kiasi hiki.
 
Mimi huwa nashangaa sana sijui watu weupe walitufanyaje hadi tunajidharau kiasi hiki.
Leo Nimekukamilishieni Dini yenu, na kukutimizieni neema Yangu, na Nimekupendeleeni Uislamu uwe Dini yenu…” [Quran 5:3]

“Na anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitakubaliwa kwake…” [Quran 3:83]
 
Kwanini wanazuia haki za watu zilizotolewa na KATIBA?utawala wa wadhalimu utaujua tuu
 
Enyi watu! Kwa hakika tumekuumbeni (nyote) kwa (yule) mwanamume (mmoja, Adamu) na yule mwanamke (mmoja, Hawwa). Na tumekufanyeni mataifa na makabila (mbalimbali) ili mjuane. Hakika ahishimiwaye sana miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule amchaye Mungu zaidi katika nyinyi..." (49:13)
 
Jummanne mliro sisi waislamu wa DAR es salaam tunaomba masheikh Wetu waachiwe mara moja
 
Lakini wapuuzi wakisema wanaandamana kumpokea yule vuvuzela Bashite ziro brain ni ruksa!
Kweli mtu akikuambia akili zako kama manjagu wa TZ jifungie ndani ulie maana ni dharau kubwa

Chadema, ACT, CUF na wengineo wangefanya utaratibu kama wa ccm. Leo Mbowe dar, watu waandamane kwa mapokezi, kule kigoma zito wanaandamana kumpokea, Mbeya nae sugu, Lema nae Arusha, Lisu dodoma pale. Mwisho wa siku nchi nzima inamaandamano

Ccm wao kagera na makonda, joket songea huko, chongolo nae Iringa, ikawa jamaa amekuwa kimya sana tokea uteuzi wa bob.
 
Lakini wapuuzi wakisema wanaandamana kumpokea yule vuvuzela Bashite ziro brain ni ruksa!
Kweli mtu akikuambia akili zako kama manjagu wa TZ jifungie ndani ulie maana ni dharau kubwa
Manjagu wanafuata maelekezo kutoka juu. Hawana ubavu wa kuzuia au kuruhusu chochote labda kiwe kitu chenye maslahi na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…