Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

Wabongo wanawaza umeneja tuu kwenye kampuni za watu
yaani mimi nihangaike kuunda kampuni, nimetoka china, nimekuja TIC hangaika na maburokrasi kibao, agiza mzigo toka china hata faida sijapata, mimi kama mchina nitamweka mbongo kweli sehemu ya juu?mbonbo? wengi ni wavivu, wezi, wanachelewa kufika kazini na kuwahi kutoka, muda mwingi wanawaza wanawake tu, ulevi n.k ufanisi utatoka wapi hapo, si lazima mtajikuta mnapewa nafasi za chini huko saidia fundi, atakayejirekebisha na kuonyesha ubora ndio huwa anapewa nafasi za juu.
 
Kweli mbongo akipata kazi tu kipaumbele chake kinageuka kuwa uzinzi na pombe.
Mengine yatafata
 
Waacheni wapige pesa,nyie mapimbi akina Lucas MWASHAMBWA mbaki na UCHAWA wenu JF
 
Wabongo sahv wao kukata mauno tu

Ova
 
Tuwaache wanaleta ushindani mzuri wa kibiashara,watanzania ni wavivu sana acha watumwe kabisa..mbona wahindi wapo huku mpaka wengine ni mama ntilie kwa nini hofu inakuja kwa mchina?mbona waarabu wamejaa Zanzibar...kama wafuata sheria waacheni watu watafute maisha..
Kwanza tuzaliane nao tupate race zenye akili ndani ya jamii zetu
 
Eti WANANCHI WASHITUSHWA,hakuna Mwananchi mwenye akili timamu atakayeshtushwa,machawa kama wewe na wenzako kina Lucas MWASHAMBWA ndio mnaoshtushwa maana hakuna mnachokijua zaidi ya kulamba makalio ya watawala kwenye mitandao
 
Sijauona umachinga kwenye hizo picha.
 
binafsi sioni shida yeyote mchina akiuza hata chips.
Mkuu na kuunga mkono kwa mtazamo huu, serikali ilitakiwa Kuboresha maslahi ya watumishi wake na kuweka mazingira rafiki kwa sekta binafsi kutoboa na wenyeji kutoka ili kila mtanzania awe na shughuli inayomuingizia kipato cha kizuri.

Infact umachinga ulitakiwa ufanywe na wageni. Sisi tunafanya kinyume chake, watanzania tuna shida mahali.
 
Nchi imekuwa shamba la Bwana heri 😄😄😄
Mkuu huku Kanda ya Ziwa wakenya,wanyarwanda na waganda wanatufikia Hadi mashambani kijijini wakinunua nyanya,vitunguu,na dengu!! Najiuliza ukienda Rwanda unaweza ingia Hadi kijijini kweli kufuata mazao? Wazawa watafanya issue Gani Sasa. Mimi nalima nyanya na wateja wangu wanyarwanda wanakuja kijijini wanalala mashambani huko Bila wasiwasi. Chato yote wateja ni kutoka Uganda. Wanunua dengu maeneo sarawe nk wateja wao ni wakenya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…