Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025

Tishekedi na Banyamulenge wake wa M23 wamehudhuria?!
 
Ruto amekua the most unpopular president of Kenya so boring hana nyota ya uraisi analazimisha tu
unpopular kivip gentleman wakati yeye ndie kiongozi anaezungumzwa sana Kenya huku akiitwa majina ya kisasa kama vile Zakayo, Kasongo n.k

Ni lini kasongo amekua unpopula kwa mfano r?🐒
 
Ni kweli kama wate mna nia moja ya kuponya na kujenga. Sio mnana ana nia ya dhati mwingine anatumia ulaghai kuchelewesha ili mambo yake yakamilike
 
Kwani kuna asiyetaka au kupenda mapatano na mapendano kwa njia ya kukaa chini kuzungumza jamani..?

Hii kauli mbiu ya CHADEMA - NO REFORMS, NO ELECTION inawatisha bure tu nyie kina johnthebaptist kwani logic yake ni mapatano kwanza yanayolenga kukubaliana kufanya mabadiliko fulani ya taratibu, kanuni na sheria ili kuleta usawa wa haki ktk jambo au mambo mnayoridhiana/patana kuyafanya ili kuondoa au kupunguza madhara ya migogoro na uharibufu kama itabaki hivyo...

Tatizo la CCM na serikali yao, dhana ya maridhiano kwao maana yake ni kukubaliana na kile wakitakacho wao na si kile kinacholeta usawa na haki kwa pande zote zinazozungumza ili kupatana. Wanataka pande zingine zikubaliane na taratibu, kanuni na sheria za dhuluma kwao lakini zenye faida kwa CCM na watawala...

Dhana yao hii iliyo ktk mkondo huu☝🏻HAIWEZEKANIKI WALA KUKUBALIKA KTK NYAKATI NA MAJIRA HAYA. Tukienda nayo hivi hivi itakula maisha ya watu sana yakiwemo ya watawala na wana CCM wenyewe..!!

Kwa hiyo, dhana ya NO REFORMS, NO ELECTIONS ni kwa ajili ya manufaa ya pande zote, manufaa ya kila mtu wakiwemo nyie wana CCM...!

Na ndo maana ya kusema kuwa IF THERE'S NO NECESSARY CONSTITUTIONAL & LEGAL REFORMS THAT CREATES EQUAL POLITICAL PLAYING GROUND, THERE WILL BE NO FREE, FAIR AND TRANSPARENT ELECTIONS IN TANZANIA NOW AND TOMORROW...!

Na nafikiri hili liko sawa kabisa tukizingatia yaliyotokea ktk chaguzi za 2019, 2020 na 2024 ambazo ziliondoka na uahai wa maisha ya wenzetu wengi sana akiwemo kinara wa dhuluma ya haki za watu za kuishi Hayati Rais wa JMT John P. Magufuli...

Hawa kina Samia Suluhu Hassan hawaogopi kufa siyo? Waendelee kushupaza shingo tutaona matokeo yake huko mbele kidogo tu...
 
Well explained than earlier.

My point was not to blame Tz security for assassination that was perpetrated in Kigali, Rwandan land.

Bare in mind, the war was ongoing...PK came from the battle field....anything was possible either planned or haphazard....



Am a bit skeptical of the so called Mwalimu involvement... aiding Tutsi or being aware of later Hyabarimana assassination ... ..this theoretical narrattion always comes from Mwalimu critics.....

Mwalimu was not an angel, however he took a dire risk which could have tarnished his esteemed advocacy for peace in the region for decades. He had to do some follow-ups and engaged the two parts where necessary.... I applaude himfor this.... by the way after his death Mandela took off where Mwalimu left.....
 
Mwalimu was a legend. And I cannot blame him for problems cascading the African Great Lake Regions, because they predate him and his proteges.

Thou, one thing is certain. Mwalimu, Mwinyi, Kagame and M7 knew exactly who had the smoking gun, a.k.a culprits behind the assassinations.

Tsishekedi made a right choice not to attend a Joint Summit. It's another waste of time.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…