kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Jeshi la polisi limeharibika lote linahitaji intesive reformation ili liwe zuri nadhan ndo jeshi la polisi bovu ukanda afrika ukitoa msumbiji kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unaposema alikosea zaidi kushika silaha ya askari, soma vizuri mada utaelewa kwanini alifanya hivyo.duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
Duu hiyo kichwa yakoMaaskari wawili wenye silaha wameshindwa kumthibiti mwanajeshi na kupelekea askari mmoja kupoteza maisha
Maafande watofautishe mafunzo ya ccp na monduli
Duu sio kwa hiyo kichwa yako nani atalipwa kisasi na hiyo amri itatolewa na kiongozi yupi wa jwAwamu hii kila mtu mwenye kanafasi anajiona mkubwa kuliko mwingine.
Hapo navyojua wajeda lazima walipe kisasi kwa mwenzao kudharauliwa.
Huyo FFU aliyefyatua risasi sidhani kama ana amani kwa sasa.
dah polisi ni hawa hawa ndungu na marafiki zetu tunaoishi nao mitaani.Daaaah pole sana mwanajeshi na sijui kwanini hakumnyanganya kabisa ile bunduki na kulenga yule pimbi aliyekuwa amebaki kwenye gari nawachukia sana hawa mbwa wa kaki ***** zao narudia tena pole sana mwanajeshi Mungu akufanyie wepesi upone haraka
huyo mwanajeshi atashtakiwa kwa mauajiPole mjeshi. tatizo nchi hii wanajeshi tunawachezea kama shemeji zetu, nadhani ametoa somo. wanajeshi waheshimiwe! wasichokozwe bila sababu. matokeo ya askari hata kulenga shabaha hajui! Wanajeshi wapewe heshima yao, wao hawakurupuki ktk mamuzi yao. nadhani alidharauliwa sana mpaka kuingia kwenye ugomvi huo. Upone haraka mjeshi urudi kulitumika taifa letu pendwa🙁
Kakataa amri na kuishika silaa ya askariUWAZI LAMRUDIA MAMBOSASA
Uwazi lilimrudia tena Kamanda Mambosasa na kumtaka kulizungumzia tukio hilo ambapo alikiri na kusema kuwa, kulikuwa askari waliofanya tukio hilo walimdhania mwanajeshi huyo kuwa ni jambazi.
Mkuu kabisa kanda maalum anaongea hiyo kauli,,, hivi unawezaje kudhani ni jambazi? kwa ishara gani aliyoionesha huyo mwanajeshi?
Mwanajeshi amewatambua polisi na ndio maana hakua na wasiwasi kwakua alijiona yeye ni mwenzao (kuna msemo unasema meno ya umbwa hayaumani).. sasa inaonekana polisi walishindwa somo la utambuzi kwa mwanajeshi, nidhamu (kwa maana ya kutuliza temper) na silaha (wakati gani sahihi kuitumia).Niwashauri chuo cha polisi au jeshi?! Aliyetakiwa kuwa na nidhamu na utambuzi hapo ni nani kati ya polisi na mwanajeshi?
Kaa kimya usichokijua kuhusu silahaHuyu mwanajeshi ni hodari wa kujikinga.
Nahisi aliona mfyatua risasi anamlenga kisha akamuweka polisi kama kinga.
Polisi haruhusiwi kufyatua risasi kwa mtu ambaye hana silaha.
Ingetokea mwanajeshi amemnyang'anya polisi silaha na kutaka kuitumia kupiga, polisi angekuwa na haki ya
kutumia silaha yake.
Kuna mapungufu makubwa sana kwa polisi wetu katika kanuni za kutumia silaha za moto wakati wa matukio madogo.
Tofautisha wakati wa kutumia command na polite language acha ujuaji kwa kitu usichokijuamaelekezo ya kipuuzi na ya kibabe ndio chanzo cha yote haya.walioendelea wanatenda kama hii mipuuzi yetu ? sio wote namaanisha baadhi ya mipuuzi yetu !!
hahaha jamaaa amefafanua vizuri.. kwa kukosa kwako hoja umekimbhilia kumkalisha kimya, wewe na yeye nani hajui anachokiongea?Kaa kimya usichokijua kuhusu silaha
Mihemko!!! Mihemko!!! Mihemko!!Tofautisha wakati wa kutumia command na polite language acha ujuaji kwa kitu usichokijua