Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Huyu mwanajeshi ni hodari wa kujikinga.
Nahisi aliona mfyatua risasi anamlenga kisha akamuweka polisi kama kinga.
Polisi haruhusiwi kufyatua risasi kwa mtu ambaye hana silaha.
Ingetokea mwanajeshi amemnyang'anya polisi silaha na kutaka kuitumia kupiga, polisi angekuwa na haki ya
kutumia silaha yake.
Kuna mapungufu makubwa sana kwa polisi wetu katika kanuni za kutumia silaha za moto wakati wa matukio madogo.
kitendo cha mjeda kushika silaha ya yule polisi pale ndo alipo kosea yeye angetulia jamaa angekausha kwani marangapi tunanyooshewa silaha lakini ukitulia wanakausha na kukuweka pembeni.. mda mwingine ujuaji ndo unaoharibu
 
Zwazwa basha wako choko wewe uliyeolewa na police.Police mnalugha chafu sana
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kk mkubwa kumbe we mjeshi
Vipi ile nafasi ya polisi ulioniomba kwaajili ya mdogo wako bado waitaka! Bi mdashi kanitel zinakaribia kutoka.
 
Nadhani hujaelewa, hao wawekaji wamemkuta anatoa pesa. Ingekuwa busara kumwambia maliza kutoa pesa na kadi yako usogee tuweke pesa basi!
hauna akili pia... ni pumba tu unaandika hapo...
 
Haya matumizi holela ya silaha yanaligharimu sana hili taifa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] matumizi holela unayajua wewe au umeandika tu uonekane kama umecomment..
 
Kutii amri kuna style tofauti kwa mfano:
"Wewe toka hapo ilo sio eneo la kusimama"
Na.
Habari yako ! Hapa haparuhusiwi kusimama ni eneo la benk.
Hapo wewe unatii ipi mkuu ?
hao ni polisi hawajasoma customer care.... wao wanajua Amri tuu.. nakumbuka nilisimama bank kama nusu saa hv namsubr mtu atoke asee kilicho nikuta...
 
Ustaarabu ni muhimu katika kazi. Raia wa kawaida tu, hapendi kupewa amri pasipo na ulazima, sasa wamekutana wenyewe kwa wenyewe, Kumbe nao pia haiwapendezi.
Kitu ambacho sielewi kwa WaTz sijui ni wapi tumekosea na hatuna ustaarabu. Kwani angetoa tangazo la 'tafadhali tupeni nafasi tuna shughuli, haitachukua muda na mtaendelea na shughuli zenu' ingeathiri nini?
 
sasa awa maaskari wasiojuwa kupiga hata risasi wanauna wao kwa wao ....ndo wanasema wanawexa kuzuia mafuriko ya tarh 26
hehehe kuna magari mapya 570 ya maji washa ambayo tangu yanunuliwe 2015 hayajawahi tumika.. licha yahvo kuna mabomu ya moshi pakage zisizo na idadi... bado virungu na risasi za mpira .. tukutane taree 27 baada ya maandamano..
 
Wana Jamvi,
Katika Utaratibu wa aina yoyote Kiutendaji intendaji lazima discipline izingatiwe.
Mwanajeshi ni Mtu alipewa dhamana ya nchi hii, hivyo anapaswa kuwa mwadilifu na mwenue adabu katika kila jambo.
Aliona wale wakiwa katika utendaji na anajua wazi ubebaji na usafirishaji wa pesa ni kitu cha hatari isipokuwa tu kwa sababu mwanajeshi ni mkaidi mjinga asiejua mchango wake kwa taiga haya yote yametokea kwa ajili yake.
Kama lilikuea no swala la kudharauliwa angetii amri FFU wamalize kazi yao kisha awaulize madai take.
Anastaili kushtakiwa. Charge 1distortion or causing commotion to a working team causing them fail to render their services as carriage and preventive officers 2 causing death kama sheria zipo Tanzania na wanasheria wapo, Huyo! Wapeleke ukonga.
We ndio mbumbumbu kabisa umeandika upuuzi mtupu
 
Mkuu kwa mara ya kwanza leo naomba kutofautiana na wewe!!
Mwanajeshi hayuko juu ya sheria... Wakati wa kuweka hizo pesa hatakiwi kuwepo mtu pale. Kazi hiyo ni ya hatari hivyo inatakiwa kufanyika kwa haraka, inaweza kuwa kuna majambazi yanafanya timing tu msimame pale yalenge shabaha na kuondoka na fedha, hivyo hawawezi kumsubiria mtu mpaka amalize kazi zake ndipo waweke. Huyo mwanajeshi alitakiwa kucancel transaction na kuondoka pale haraka na sio kutaka abembelezwe kama alivyodai... Pale kuondoka ni amri sio ombi.

By the way mkuu, wengi humu mnatetea mwanajeshi kwa kudhani kuwa ndio friendly na raia, si kweli... Kwa nchi ya Tanzania polisi na wanajeshi ni walewale tu, ukitaka kuamini, watu waandamane tarehe 26, polisi wazidiwe uone kama wanajeshi hawajaingia barabarani kupiga r
[emoji28] [emoji1] tena kipigo ya wanajeshi .. wewe mwenyewe utatamani upigwe na polisi asee...
 
Shahidi amesema baada ya kulengwa na bunduki huku huyo mbwiga akimkaribia yeye aliishika akanyanyua juu mtutu,
Ni kosa kubwa kumuelekezea MTU mtutu,
Anayetaka kunyanganya anafuatwa na mnyanganywaji kuwa nimekuja ninyanganye au ye ndio angemfuata huyo bwege? Walioshuhudia watatoa ushahidi na tupate citation ya sheria inayosema PESA zikiwa zinawekwa ktk ATM mtu hatakiwi kuwepo pale sio porojo tu
 
duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
Mwanajeshi hapigwi hovyo kama unavyowaza wewe
 
Back
Top Bottom