kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unahis mange kule hana security ya kutosha basi jidanganyeInasikitisha sana, huyu dada ni kazi ndogo sana kumrekebisha, hao anaowaumiza kwa matusi ambao wana uwezo, si wanfanye mpango wawalipe wamexican ama gege la BROTHERS nao watamshughulikia vizuri sana.
America kila kitu kinawezekana.
Hivi mashekhe wanafuga mbwa siku hizi [emoji1] [emoji1] [emoji1] Rais wa nchi imemshinda ije iwe Shekhe mzaliwa wa TemekeSasa nikwambie, huyu jamaa licha ya kuwa shehe ila ni "mtoto wa mjini", ana "mbwa" mpaka marekani, jua hilo!
Sawa kabisa...umenena vena...Alipashwa amuombee kwa mwenyezi Mungu amrejeshe kwenye mstari na sio kumlaani,
Mtume alipigwa mawe na akawaombea waliompiga Mungu awasamehe, Yesu pia aliwaombea wakosaji wasamehewe
Mkuu vipi ile mitusi na dhihaka za kijani wakati wa kampeni hamkukenua meno tena humu humu,hasa ile ya kaka beni kukashifu malofa?Chadema ni wajinga sana ,wanashangilia matusi ya Mange Kimambi
hakuna ushahidi uliothibitika kuwa mtu aliyempiga lissu risasi anajulikana vinginevyo kama unamjua kawasaidie polisi itapendeza sanaaWakemee kwa nguvu pia anayotendewa lisu kiasi mpaka sasa ypo hospitali
Utapeli mtupu.albadili au kisomo Ndiyo nini. Fix tupu kumtishia mtu unaweza kumdhuru Kwa kuongea au kutamka maneno. Kungekuwa na albadili kusingekuwa na watu wanajilipua.angalia syria au iraq wanawvyouwana kwa mabomu na risasi.kwanini wasitumie albadili na wao Ndiyo wenye dini ya albdadili.zama hizi zimebadilika na watu wengi wamekuwa waelewa wa mamboSisi wenye imani yetu tuacheni na imani yetu... huku pwani mtu akikupiga ugeuki nyuma... albadil ina kanuni zake katika kumsomea mtu... ndio maana watu wengi walikuwa na imani potofu kuwa waislamu wana majini, waislamu wachawi nk... ni kwa vile Qur'an ina mambo mengi... una weza jikinga na waovu una weza itumia kum'adhibu mtu vile vile...
ukichukulia hii dini ina toa mianya ya kuadhibu pale unapo enda kinyume... na ndipo hapa mahakama ya kadhi ilikuwa ina pigiwa kelele... ndipo hapa chuo kikuu cha kiislamu morogoro kime chukua hatua zidi ya uovu wa wanafunzi ktk kulinda maadhili ya chuo na dini kwa ujumla....
ukitka kuisoma pia una takiwa kutoa taadhari kwa muusika kuwa ahache kile ambacho unaisi wewe amekitenda kibaya na una kusudio la kutoa adhabu pale atakapo endele kukaidi... na notisi huwa ya siku saba... ukiona kimya basi una endelea na kusudio lako la kumsomea kisomo...
kisomo chenyewe ukisomewa ni hatari mno... una weza kuwa chizi wa maisha nk...!
tahadhari:
tuwe tuna heshimiana, tusiwe wa kukorofishana na kujiona mungu mtu... hekima ni kitu kizuri... hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha...
ngoja sheikh kipoozeo aje...
At least nina wajukuu sijutii ila hili la albadiri ni upupu mtupu. Let us be frank hawa watu wanashindwa ku deal na issue kama za kutokomeza ukimwi waje kuua eti wamesemwa? Vasco angeua wengi enzi zake na hivi mtu wa Bagamoyo.na nyie tukaneni kimafumbo mtapewa expiry date zenu ohoooooo
ashanga hata mimi kiongoziMkuu vipi ile mitusi na dhihaka za kijani wakati wa kampeni hamkukenua meno tena humu humu,hasa ile ya kaka beni kukashifu malofa?
Ha ha ha Dua zao hizo si mchezo sema tatizo haya mambo hayavuki bahari .Dooh, mambo gani wamefanya Cole Williams.. Unaweza kujikita kudodosa walau kidogo mfano wa punje ya mchele?
MhhhhhMbona Gwajima alipoliamsha dude kwa mond hatukuona amekoswa busara hizi double standard zitatuua,
Mbona Gwajima alipotuma majini kwa bashite yakafeli hatukuzidharau dini yaani sisi Mungu atusamehe.
Hatima ya pumzi ya mtu anaijua Mungu makubwa shekhe badala aombee watu kheri anaombea vifo aisee hizi dini hizii bora kumuomba Mungu ki vyangu tu ijumaa atatoa mawaidha watu wapendane yeye anawaza kuua.