DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Inasikitisha sana, huyu dada ni kazi ndogo sana kumrekebisha, hao anaowaumiza kwa matusi ambao wana uwezo, si wanfanye mpango wawalipe wamexican ama gege la BROTHERS nao watamshughulikia vizuri sana.

America kila kitu kinawezekana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unahis mange kule hana security ya kutosha basi jidanganye
 
Sasa nikwambie, huyu jamaa licha ya kuwa shehe ila ni "mtoto wa mjini", ana "mbwa" mpaka marekani, jua hilo!
Hivi mashekhe wanafuga mbwa siku hizi [emoji1] [emoji1] [emoji1] Rais wa nchi imemshinda ije iwe Shekhe mzaliwa wa Temeke
 
Alipashwa amuombee kwa mwenyezi Mungu amrejeshe kwenye mstari na sio kumlaani,
Mtume alipigwa mawe na akawaombea waliompiga Mungu awasamehe, Yesu pia aliwaombea wakosaji wasamehewe
Sawa kabisa...umenena vena...
Huyu ni ccm ba si shehe....
 
Serikali inaweza kutumia mwanya wa ugomvi kufanya yake
 
Unajua sheikh Alhad kama anasoma dua au atamfanyia kitu Mange kwa sababu amemtukana SAWA. Ila kwa upande wangu huyu sheikh anahitaji kubadilika maana wananchi wanapata shida na tabu nyingi sababu yeye anafumbia macho maovu ya serikali kwa maslahi yake binafsi!

Ila Allah ndio mjuzi zaidi juu ya nani mkosaji BUT tunajua Allah huwa anatekeleza kitu akitaka sio anasubiri aombwe au apewe maelekezo, huyu mzee amepaniki sana sababu ameingia anga asizoweza kuzimudu na asipokuwa makini jinsi ya kucontrol situation iliyopo atatia aibu soon.
 
Wakemee kwa nguvu pia anayotendewa lisu kiasi mpaka sasa ypo hospitali
hakuna ushahidi uliothibitika kuwa mtu aliyempiga lissu risasi anajulikana vinginevyo kama unamjua kawasaidie polisi itapendeza sanaa
 
Sisi wenye imani yetu tuacheni na imani yetu... huku pwani mtu akikupiga ugeuki nyuma... albadil ina kanuni zake katika kumsomea mtu... ndio maana watu wengi walikuwa na imani potofu kuwa waislamu wana majini, waislamu wachawi nk... ni kwa vile Qur'an ina mambo mengi... una weza jikinga na waovu una weza itumia kum'adhibu mtu vile vile...

ukichukulia hii dini ina toa mianya ya kuadhibu pale unapo enda kinyume... na ndipo hapa mahakama ya kadhi ilikuwa ina pigiwa kelele... ndipo hapa chuo kikuu cha kiislamu morogoro kime chukua hatua zidi ya uovu wa wanafunzi ktk kulinda maadhili ya chuo na dini kwa ujumla....

ukitka kuisoma pia una takiwa kutoa taadhari kwa muusika kuwa ahache kile ambacho unaisi wewe amekitenda kibaya na una kusudio la kutoa adhabu pale atakapo endele kukaidi... na notisi huwa ya siku saba... ukiona kimya basi una endelea na kusudio lako la kumsomea kisomo...

kisomo chenyewe ukisomewa ni hatari mno... una weza kuwa chizi wa maisha nk...!

tahadhari:
tuwe tuna heshimiana, tusiwe wa kukorofishana na kujiona mungu mtu... hekima ni kitu kizuri... hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha...

ngoja sheikh kipoozeo aje...
Utapeli mtupu.albadili au kisomo Ndiyo nini. Fix tupu kumtishia mtu unaweza kumdhuru Kwa kuongea au kutamka maneno. Kungekuwa na albadili kusingekuwa na watu wanajilipua.angalia syria au iraq wanawvyouwana kwa mabomu na risasi.kwanini wasitumie albadili na wao Ndiyo wenye dini ya albdadili.zama hizi zimebadilika na watu wengi wamekuwa waelewa wa mambo
 
Mi nnadhani ni busara kumshauri Mange aendeshe harakati zake kutoka kwenye mchanganyiko wa matusi na vichambo ibaki ktk ukweli na vichambo,hii nadhani itamuingezea,kuaminika na kutumika na wafichua siri,atakuwa km snolden vile,
Hii ya matusi inaleta ukakasi kidogo inapunguza uzito wa thamani ya mchango wake ktk kusaidia jamii
 
Hiki alichokifanya shekhe sio kitu kizuri kabisa ukizingatia hadhi yake kama kiongozi wa dini,Busara hana kabisa ukizingatia kwahadhi yake,Mie ni muislamu lakini kwa icho alichokikusudia hakitaweza kumdhuru,dua iliyokuwa nzuri ni ile ya siri sio dhahiri kama alivyofanya
 
na nyie tukaneni kimafumbo mtapewa expiry date zenu ohoooooo
At least nina wajukuu sijutii ila hili la albadiri ni upupu mtupu. Let us be frank hawa watu wanashindwa ku deal na issue kama za kutokomeza ukimwi waje kuua eti wamesemwa? Vasco angeua wengi enzi zake na hivi mtu wa Bagamoyo.
 
Kwa mfano huyu Sheikh siku akifa yeye au kaishindwa yeye kutumia mdomo wake au mikono yake kama anavyomuombea Mange itakuaje??
 
Mmemuendekeza na kumlea wenyewe especially pale anapowatukana watu msiowapenda nyingi.

Mmejazana kwenye page yake kwa kumfollow kisa mpate umbea.

Haya sasa endeleeni kushabikia chizi aendelee kuwaumbua.

Naona ishu ya shehe imeanza kuwatoa nyoka pangoni...leo mtoa post ndo kamjua huyu chizi.....Are you for really????.......hahhahhahahhhh.....pole sana kwa kuguswa.

Mkuki kwa nguruwe..........kwa binadamu mchungu.
 
Mbona Gwajima alipoliamsha dude kwa mond hatukuona amekoswa busara hizi double standard zitatuua,

Mbona Gwajima alipotuma majini kwa bashite yakafeli hatukuzidharau dini yaani sisi Mungu atusamehe.
Mhhhhh
Ona aibu
Unataka kuleta mlinganisho sumbufu wa kupindisha kiongelewacho,acha udini
 
Hatima ya pumzi ya mtu anaijua Mungu makubwa shekhe badala aombee watu kheri anaombea vifo aisee hizi dini hizii bora kumuomba Mungu ki vyangu tu ijumaa atatoa mawaidha watu wapendane yeye anawaza kuua.

Inabidi ktk mahubiri na ushauri watoe neno msamaha watumie tu kisasi kwa kila jambo,
Hilo ndo fundisho wanalotupa,inamaana nikikorofiana na mke alonikosea na kuenda kwake kutaka ushauri basi nipewe hukumu na siyo kusamehe,

Sidhani km ametulia kabla ya kusema hili,Na nnawalaumu sana hao mashekhe walio pembeni yake,

Maana walipaswa kumshauri kwanza afundishe na kukataza na kuonya,huenda angebadirika,

Naamini kipo kilichowasukuma siyo bure
 
Back
Top Bottom