DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Duh!
Kali walahi
 
Kwa nn ww usipaliganie hyo haki? Nilichomuelewa ni kuwa watanzania ni wanafki sana, sidhani kama atakuja kurudia yale aliyoyafanya kwa kufuata upepo wa watanzania huko instagram
 
Mange kashapewa hela. Njaa tu inamsumbua.
 
Kwa nn ww usipaliganie hyo haki? Nilichomuelewa ni kuwa watanzania ni wanafki sana, sidhani kama atakuja kurudia yale aliyoyafanya kwa kufuata upepo wa watanzania huko instagram

Hakuna cha Watanzania kuwa wanafiki, ukiamua kupigania haki unapigania tu hata kama kuna mtu mmoja tu anakuunga mkono!. Maana wakati mwingine inabidi uokoe wasiojielewa na vizazi vyao.

Hoja eti kwa nini isiwe mimi ndo mpiganaji, the issue ni kwamba mtu ukishabeba dhana ya harakati na ukawa front huwezi kuja na excuse eti kwa nini wewe ndo uko mbele na wengine nyuma, hakuna aliyekwambia ukae mbele, lakini ukishakaa watu lazima wakuulize mbona ghafla unarudi nyuma huku ukitoa excuse za kijinga!. Wewe unadhani akina Bibi Titi wangegive up wakasarenda kisha wakapayuka kuwaambia raia kuwa njooni na nyinyi mkae front mpigwe na mkoloni ingekuwa sahihi, au watu wangewaelewa?. Kama unajua utaleta Excuse za oooh sijui mimi nimejitolea ooooh sijui na nyie njooni front basi hakuna haja ya kubeep!

Hilo swali lako halina tofauti na swali lilelile la baadhi ya watu waliokuwa wakimwambia kuwa kama unataka tuandamane basi na wewe njoo tuandamane wote!!. Sasa na kenyewe eti kanageuza kibao eti kwani ni lazima niongoze mimi harakati ongoza na wewe!!

Yeye mbona baada ya yale maandano kufeli alisema ameelewa sababu na halaumu mtu na kwamba atarudi August 1. Na kwamba anaenda kufanya research ya namna gani aje na mbinu nzuri zaidi. ilipofika muda huo kakaanza kukwepakwepa, kameishia kujibinuabinua tu huko insta. Kashukuru ujio wa Mobeto, kangekuwa kameshakuwa hopeless mbele ya waliodhani kapo for real!
 
Ishu ya wazir wa minerals na kichanga ilibidi Mange anunuliwe tuu na ndio sababu kubwa Mange kununuliwa. Na bila Mange hakuna yeyote angejua. Yani ni aibu kweli
Sky Eclat

Kanavyojishebedua mitandaoni kwa ishu zisizo na kichwa wala miguu kanaonyesha dhahiri kamepewa hela kakae kimya!

Na huyo Amisa Mobeto awe makini asimpe kila information kumhusu, hakachelewi baadae kuanza kumpaka na kumtukana mitandaoni kama kalivyofanya kwa rafiki zake wengine huko zamani.

Kanapenda sana attention na umaarufu, ukikaondolea hivyo vitu kanakuwa hopeless.
 
Tuuache unafiki. Wewe mwenyewe hapo umejificha nyuma ya Keyboard unamshambulia Mange! Unadhani yeye hapendi maisha yaake

Mangapi makubwa yanatokea na mnaishia tu kuongea na kulia lia mitandaon. Mange yupo sahihi haijalish amelipwa au hajalipwa.
Labda niwaulize, Mambo yoote ambayo aliyaongea hapo kabla mmeyafanyia nini cha maana zaidi ya unafiki Tu.
 
Tarehe 1 Jan,2019 ni tarehe kwa mujibu wa kalenda ya kizungu labda sheikh aliongea kwa kalenda ya kiarabu!
 
Ccm inapowaambia chadema ni nyumbu huwa iko sahihi
 
Ila Watanzania bana, si bora mngemshukuru kwa walau kupambana almost 3 years tena mtoto wa kike na walau kutoa upinzani kuliko vyama vyote vya siasa kwa pamoja! Leo mnaanza kampeni kumtibua badala walau kukaa kimya kwa heshima ya aliyofanya. Awe amepewa pesa au hajapewa lakini ni vizuri makamanda kujadili bila kejeli kama tulivyowaonya mlipoanza kumchafua Dr Slaa. Askari anapoanguka vitani jifunzeni kusonga mbele badala ya kuanza kumzodoa.
 
at least umekubali slaa alipotoka na kusaliti mapambano
mange sio mwanamke pekee anayepambana kwenye hizi movement
akina halima mdee wanapambana tokea kitambo tena hapa hapa na wala hawajajificha in the city of angels
 

Sasa ndo kamesarenda?
Kasianze basi kusema mara ooh nimewapigania sijui nini, kama kametupigania basi kamepigania wajomba zake, ndugu zake etc, na kenyewe kama kanadhani kana connection na hii nchi basi kalikuwa kanatimiza wajibu wake wa kitaifa.

Sasa kama mimi nimetimiza au sijatimiza wajibu wangu nabeba lawama lakini hiyo siyo excuse na wengine wasitimize wao

Halafu si kalijiweka front?, ndiyo maana tunauliza mbona kameufyata!. Kalikuwa kanataka hela na hivyo kamelipwa?
 
Umoufia Kwenu wana JF,

Tunakumbushana tu wadau kwamba zimebaki siku 37 kwa Mange kuzungumza/kuandika ,Baada ya hapo hautomsikia akiandika wala kuzungumza -sheikh Alhadi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…