ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Duh!Kale kademu kameshanunuliwa, eti leo ndo kanajifanya eti kanajali kulinda maisha yake!, Kwani siku zote kalikuwa hakajui kuwa ni hatari kupambana na system?, Au kalifikiri mabadiriko yanaletwa kwa harakati za mwaka mmoja miwili tu?
Halafu kanajiona eti kalikuwa kakombozi, sijui kanadhani sasa ndo tumeshakombolewa?
Mpigania haki wa ukweli haachi kuipigania hata kama watu wote hawamuelewi. Kenyewe kameshapata Kiki basi kameridhika. Soon katakuwa irrelevant mtandaoni, na wote wenye akili waliodhani kanapigania haki kweli watakapuuza na katapoteza attention za watu!. The higher she has gone the lower she shall fall!.
Kamebaki kuposti Makalio ya Mobeto na kujibinuabinua makalio insta baasi!
Kanasafiria nyota ya Mobeto sasa hivi hakana ishu!
Kali walahi