DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

na nyie tukaneni kimafumbo mtapewa expiry date zenu ohoooooo
 
Shekhe mkuki umemwingia kashindwa kuvumilia,Sasa hiyo dua isipompata sijui atajificha wapi.
Mwanzo mbaya kabisa wa mashindano mabaya ambayo yanweza muingiza ktk dhambi,
Ni bora akamuimbea toba kwa Mungu arekebike km anaona amepotoka siyo kumfanyia kisasi,lkn km dini inaruhu kisasi sawa!!
Lkn mhhh!
Mwanzo mbaya,kuna jambo limemsukuma hapa
 
Alipashwa amuombee kwa mwenyezi Mungu amrejeshe kwenye mstari na sio kumlaani,
Mtume alipigwa mawe na akawaombea waliompiga Mungu awasamehe, Yesu pia aliwaombea wakosaji wasamehewe
Naaam na hapa ndo tunaona kilichopo ndani ya mioyo ya viongozi wetu wa dini
Ambao wanatufundisha msamaha lkn wao hawasamehi,wanatufunfisha kuepuka visasi lkn wao ndo mabingwa wa visasi,
Huu si mfano mzuri kabisa
 
Jamani eeh
Ombeni msamaha mapema!
 
Hiyo albadiri ingekuwepo hadi sasa Lipumba angekua kichaa au marehemu kwa jinsi alivyowachezea Cuf ya Pemba kama apendavyo
Wewe unajua anakotokea Lipumba? Usimuone mwepesi! Kamuulize Maalim Seif anajua songombingo za jamaa.
 
Kwani amesema atakufa au kasema kutukana mwisho mwaka huu?

Kwani mange akiacha kutukana ni vibaya sana? Kwanini tunataka aendelee kutukana viongozi wa dini?
 
labda kama tuna imani tofauti... mungu anakupa kwa hitaji lako... hata ukitaka kuua...! au mpaka tukupe aya mkuu...! mungu sio wako pekee... ni wawote... wabaya, watakatifu... nk wanyama...
Kwa hyo hata Mange akiamua nae kumuomba huyo mungu wako nae aue anaetaka yy afe mungu wako anatekeleza tu,kwa mujibu wa aya unayotaka kutupa,
Nadhani kuna mambo tunaweka ujuzi wa kibinadamu halafu tunamsingizia MUNGU
 
Hivi makombora huwa yavuka bahari kweli? hebu ngoja tuone mwisho wa hii movie ila Shekhe angekaa kimya lingekuwa jibu tosha kwa Hide my Id please ila kumjibu ni kama katia Petrol kwenye moto
 
Naaam na hapa ndo tunaona kilichopo ndani ya mioyo ya viongozi wetu wa dini
Ambao wanatufundisha msamaha lkn wao hawasamehi,wanatufunfisha kuepuka visasi lkn wao ndo mabingwa wa visasi,
Huu si mfano mzuri kabisa
Hivi alichotuhumiwa nacho ni kweli au si kweli?
 
Believe me
Tafuta kisa cha kina Henri Nyiti!
Dhuluma ni mbaya sana!
 
Hawa ndiyo wanao utia doa uislam..

Sijui kama anaelewa maana ya Neno Islam..

Imeandikwa kisasi ni kwa aliye juu ndiye mwenye maamuzi..

Asije tokea mtu ambaye kwamba anavaa dhambi ya kisasi..

Maneno kama yale hayakupaswa kuongelewa na kiongozi wa kiroho kama yeye..

Eee..Mola tunusuru waja wako na hizi kauli tata toka mioyoni mwetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…