Zingekuwa na nguvu wangedhurika wanajeshi wa marekani au waisrael kwa dhuluma wanazotenda middle east na Afghanistan,sifikirii na sidhani kama mange atadhurika
jambo la aibu sana kiongozi wa dini kumtamkia mfuasi ukomo kisa mna personal interest alitakiwa amsahihishe tu na kumsaidia kimawazo lakini suala la ukomo wa mtu hilo ni jambo la Mungu tena
Tena alhadi akae kimyaa mnaafiki haswaaNimeona Majibu ya Mange Kimambi kwa sheikh! Aiseew! Kuna tatizo kubwa!
Hahaaaaaaaas hivi mbona hakuna nyuzi ya kutoka mazikoni?Kupitia sheikh huyu Jamii forums inaweza ikatikiswa tena......naona wanataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja.
Endelea tu kumstiri! Ila najua pale kuna Kazi!Tena alhadi akae kimyaa mnaafiki haswaa
Hana usheikh wwt mchumia tumbo tu!
Au tumpe ishu zake da mange tumharibiee?tunamsitiri tu
Nami pia naiona hiyo!Kupitia sheikh huyu Jamii forums inaweza ikatikiswa tena......naona wanataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja.
Akuna kitu kama icho wewe watu wameua Osama,Gaddafi tena msikitin kuna wanaoijua din kama waharab walisomea misikiti Obama yule bado anadunda tuuhTulikatazwa kuwasomea waliomshambulia Tundu Lissu, sijui na hii itakatazwa?
Kutubu dhambi na kuziacha bila kuzirejea tena, ndiyo TOBA inayohubiriwa na madhehebu ya dini na watumishi, sio kuwamaliza wakati hawajatubu, huyo kiongozi kapitiliza sana. Ajabu.Hicho anachokieleza kwamba Mange "ataondoka" ni kuwazia mambo yasiyowezekana! Katika nyakati zetu ni lazima kuacha kutumia matisho kama zamani kwamba ukimfanya hivi dhidi ya dini utadhurika. Kama anamaanisha kuwa Yeye Sheikh na viongozi wenzie watamuomba Mungu ili "amupumzishe" Kimange hilo ni jambo ambalo Mungu hawezi kufanya kabisa! Labda kama kuna Mungu tofauti na tunayemjua wengine. Ningeelewa zaidi ikiwa angemuombea Mange maisha marefu na kujaliwa moyo Wa kutambua makosa yake na kutubu.
Na Tanzania Daima itarudi mahabusuNami pia naiona hiyo!
mie mwenyewe nimeganda hapa nilipo, ilibidi amuombee sio kumpa vitishoMtumishi Wa mungu anamtisha mtu badala kumwombea abadilike jamani au ni Mtumishi Wa ccm
Kasema hatutamsikia tena sasa tafsiri yake si Baba Jenny bye byeKwani amesema atakufa au kasema kutukana mwisho mwaka huu?
Kwani mange akiacha kutukana ni vibaya sana? Kwanini tunataka aendelee kutukana viongozi wa dini?
Naaam na hapa ndo tunaona kilichopo ndani ya mioyo ya viongozi wetu wa dini
Ambao wanatufundisha msamaha lkn wao hawasamehi,wanatufunfisha kuepuka visasi lkn wao ndo mabingwa wa visasi,
Huu si mfano mzuri kabisa
Na kishushio cha soda maana unaweza paliwa katikati ya movieNi muda wa kununua popcorn
mjomba ukibishana na mpumbavu na wewe utakuwa hivyo hivyo sheikh angetumia busara zake kama kiongozi wa dini kuonyesha mfano kama kiongozi wa dini kwa wafuasi wake
lakini sio kwa kupovuka na vitisho
umetokea sura gani maalim?