SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Ikawaje sasa?Kwanza kisheria ilitakiwa icheze Simba A Na Simba B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikawaje sasa?Kwanza kisheria ilitakiwa icheze Simba A Na Simba B
Kwani Yanga alishinda VPL au FA?Ikawaje sasa?
simba ameshinda 1-0Ikawaje sasa?
hata ligi bado nani ameshinda?Kwani Yanga alishinda VPL au FA?
Usiwasahau mashabiki wa Chelsea na LiverpoolMashabiki wa man utd na Simba Leo wikiend hii imeanza kuwa ngumu Sana,hakuna kurudi nyumbani kulala...[emoji41][emoji41][emoji41]
Hii Mechi ya leo mtani wa jadi si anatakiwa acheze mshindi wa VPL Na Mshindi wa FA wa msimu uliopita?Yanga ameingiaje?hata ligi bado nani ameshinda?
Kolo unaweweseka sana 😀😀
Hii yote ni baada ya kipigo.Hii Mechi ya leo mtani wa jadi si anatakiwa acheze mshindi wa VPL Na Mshindi wa FA wa msimu uliopita?Yanga ameingiaje?
Haijalishi..swali bado Ni validHii yote ni baada ya kipigo.
Mngeshinda ungesema haya?
Basi tufanye simba ameshinda au vipi?Haijalishi..swali bado Ni valid
Tuweke hiko kifungu cha sheria. Inaonekana hata sheria, kanuni na utaratibu wavmpira wa miguu haujui unajua tu rede na mdako. Hata ulaya kuna mfano serie A Kuna makombe mawili kombe la ligi kuu na Kombe la copa italia. Ungereza pia kuna kombe la ligi kuu na Kombe la Emirates zamani iliitwa FA cup. Kule Hispsnia pia kuna kombe la ligi kuu na Kombe la copa del rey. Huko kote utaratibu ni kwamba ikitokea mshindi wa ligi kuu ndio huyo huyo amebeba kombe la shirikisho basi atacheza mechi ya ngao ya jamii na aliyeshika nafasi ya mshindi wa pili.Kwanza kisheria ilitakiwa icheze Simba A Na Simba B
Ndoa lini mkuu?Shida ilianzia hapaView attachment 1952779
hukutakiwa kumwambia yote hayo anajua vizuri to, ila kafanya makusudiTuweke hiko kifungu cha sheria. Inaonekana hata sheria, kanuni na utaratibu wavmpira wa miguu haujui unajua tu rede na mdako. Hata ulaya kuna mfano serie A Kuna makombe mawili kombe la ligi kuu na Kombe la copa italia. Ungereza pia kuna kombe la ligi kuu na Kombe la Emirates zamani iliitwa FA cup. Kule Hispsnia pia kuna kombe la ligi kuu na Kombe la copa del rey. Huko kote utaratibu ni kwamba ikitokea mshindi wa ligi kuu ndio huyo huyo amebeba kombe la shirikisho basi atacheza mechi ya ngao ya jamii na aliyeshika nafasi ya mshindi wa pili.
Nazungumzia marking ndani ya eneo la 18, ni sahihi kumfanya mpinzani acheze lakini asifike mpaka chumbani kwako. Akikaribia tu unapaswa ku win mpira na kufanya counter attack. Ila Yanga kuna tatizo la mabeki kushindwa kuwa makini golini mwetu. Washukuriwe mafowadi butu wa SimbaHiyo ni strategy ya kocha mkuu, kuwaacha Simba wacheze then kuwapiga counter attack
Inawezekana kavamia tu mpira wa miguu, mchezo wake mkubwa ni rede haya mambo atajulia wapi. Maana kakomalia tu kwanini Yanga kwanini Yangahukutakiwa kumwambia yote hayo anajua vizuri to, ila kafanya makusudi
Mlikuwa bize kupika majungu ili kuchonganisha Yanga mkasahau kufuatilia ubovu wa timu yenu,sasa hivi ligi inaanza ndii akili zinaanza kuwarudi.Kusema kweli tukubaliane Simba Sc haina timu ya maana kwa sasa. Hasa strikers
Mugalu ni Sarpong aliepaka mkorogoMugalu tumbadilishe na jogoo tu
Pole kumbe na wewe nyau nyau fcDaah