Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Yani hapa tangu saa 1 nimeweka wimbo wa NDOMBOLO wa Alikiba na watoto wake.
 
Shida ilianzia hapa
Screenshot_20210925-222011_Chrome.jpg
 
Kwanza kisheria ilitakiwa icheze Simba A Na Simba B
Tuweke hiko kifungu cha sheria. Inaonekana hata sheria, kanuni na utaratibu wavmpira wa miguu haujui unajua tu rede na mdako. Hata ulaya kuna mfano serie A Kuna makombe mawili kombe la ligi kuu na Kombe la copa italia. Ungereza pia kuna kombe la ligi kuu na Kombe la Emirates zamani iliitwa FA cup. Kule Hispsnia pia kuna kombe la ligi kuu na Kombe la copa del rey. Huko kote utaratibu ni kwamba ikitokea mshindi wa ligi kuu ndio huyo huyo amebeba kombe la shirikisho basi atacheza mechi ya ngao ya jamii na aliyeshika nafasi ya mshindi wa pili.
 
hukutakiwa kumwambia yote hayo anajua vizuri to, ila kafanya makusudi
 
Hiyo ni strategy ya kocha mkuu, kuwaacha Simba wacheze then kuwapiga counter attack
Nazungumzia marking ndani ya eneo la 18, ni sahihi kumfanya mpinzani acheze lakini asifike mpaka chumbani kwako. Akikaribia tu unapaswa ku win mpira na kufanya counter attack. Ila Yanga kuna tatizo la mabeki kushindwa kuwa makini golini mwetu. Washukuriwe mafowadi butu wa Simba
 
Back
Top Bottom