Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Hiyo Passport ni ya kwake aliyopewa kihalali kama raia mwema wa Tanzania na Kibali cha uwakili pia ni chake kilitolewa na mamlaka husika kutokana na kisomo chake na uzoefu wake katika taaluma husika kwa hiyo hakiwezi kukabithiwa kwa Chato Bush Lawyer yeyote. Vilaza wa Usukumani wanaanza kujitokeza!Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Hiyo Passport ni ya kwake aliyopewa kihalali kama raia mwema wa Tanzania na Kibali cha uwakili pia ni chake kilitolewa na mamlaka husika kutokana na kisomo chake na uzoefu wake katika taaluma husika kwa hiyo hakiwezi kukabithiwa kwa Chato Bush Lawyer yeyote.
Kwani jizi likivunja na kuiba Kuna sherehe inafanyika waziwazi?Tumeshinda kwa kishindo 80% na ushee ila hakuna mwananchi anashangilia ushindi hata kuuuongelea. Utafikiri ni msiba wa Nyerere ndiyo ulitia simanzi sana Taifa. Yaani sielewi kabisa ni kwa nini hatushangiliwi.
Hivi unaelewa maana ya serikali?Passport yetu na Mali ya Serikali ya JMTZ yetu inaweza kuchukuliwa muda wowote ule na Serikali, Kibali cha uwakili Tanzania ni mai ya Serikali ya JMTZ na kinaweza kuondolea muda wowote ule muulize Fatuma, ...
Kama ulimsaidia course work ww na wenzko wa ccm wkt yupo chuo sawa mtachkua kibali chenu cha uwakili!!PATHETICSafi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Nahs sku usalama wakikufata utawapa ur black ass kisa tu wamesema ur black ass ni mali ya serikali..Passport yetu na Mali ya Serikali ya JMTZ yetu inaweza kuchukuliwa muda wowote ule na Serikali, Kibali cha uwakili Tanzania ni mai ya Serikali ya JMTZ na kinaweza kuondolea muda wowote ule muulize Fatuma, ...
Kuna Mambo mawili yamenichanganya katika haya Maelezo yako 1. Lissu Kukamatwa pamoja na Walinzi wake kwani nilidhani huu ndiyo ulikuwa muda muafaka kwa hao Walinzi wake Kutuonyesha Watanzania na hao Mapolisi kuwa Wao 'wameiva' vyema 'Kimedani' na kwamba 'wangewadindia' Mapolisi na ikiwekezana hata kuwapa 'Kipondo' badala yake pamoja na Ulinzi wao bado waliweza kubebwa 'mzobe mzobe' hadi huko Polisi.Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.
Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House)...
Kama ulimsaidia course work ww na wenzko wa ccm wkt yupo chuo sawa mtachkua kibali chenu cha uwakili!!PATHETIC
Angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.
Kuuliwa huuliwi na ujinga ubaki nao, tunaishi dunia ya wastaarabu na leo la maisha ni kuishi na kutofautiana ndio ubinadamu wenyewe. Kila mtu ana haki ya kuishi so kuua ni kwenda kinyume na universal declaration of human Rights ambayo Tanzania na yenyewe imesaini hyo kitu kuhusu haki za watuKama haki yangu kuuliwa niuliwe tu, ila ujinga ni jambo baya sana, hata mjinga mwenyewe hapendi kuitwa mjinga.
Sijawahi kuwa dikteta.
Wewe ushachagua upumbavu!Ushachagua kukosea.
Hivi ndivyo nilivyo mimi.
Bad move!
Hivi ndivyo nilivyo mimi.Wewe ushachagua upumbavu!
Mimi sihukumu bali naelezea stahiki za watu.Mara nyingi unapenda sana kutoa hukumu za kuua,
Inaonesha jinsi ulivyo katili na mwenye roho mbaya sana na si hivyo tu inaonesha wewe ni muuaji mzoefu usiyehisi hatia tena inaonesha hua unawauwa watu huku unacheka,
Shame on you, na kifo chako kitakua cha kidhalili sana.
Huwa namuomba sana Allah anipe mwisho mwema, na hili sidhani sababu huwa nafanya mambo ambayo humuepusha mja kutokufa kifo cha kidhalili.Shame on you, na kifo chako kitakua cha kidhalili sana.
Nilijua hao mashoga na wasagaji waliuliwa kipindi cha Sodoma na Gomora kumbe wamezalika wengine? HahahaMimi sihukumu bali naelezea stahiki za watu.
Hukumu ya kifo kwa watu madhalimu na mafisadi ni haki kwao na hili si geni, na hukumu hii huwa ina hekima kubwa sana na kuondoa uovu.
Chukulia leo hii mashoga, au wasagaji na wasagwaji au mafisadi au wasaliti au wachochezi na wavunja amani wangekuwa wanauwawa, heshima ingekuwepo.
Hapa kwenye ustaarabu ndiyo huwa mnalibaka hili neno.Kuuliwa huuliwi na ujinga ubaki nao, tunaishi dunia ya wastaarabu na leo la maisha ni kuishi, na kutofautiana ndio ubinadamu wenyewe. Lila mtu ana haki ya kuishi so kuua ni kwenda kinyume na universal declaration of humani Rights ambayo Tanzania na yenyewe imesaini hyo kitu kuhusu haki za watu
Kwa roho yako mbaya na ukatili wa kuua watu hiyo pepo utaionea wapi?Huwa namuomba sana Allah anipe mwisho mwema, na hili sidhani sababu huwa nafanya mambo ambayo humuepusha mja kutokufa kifo cha kidhalili.