Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.
Hiyo Passport ni ya kwake aliyopewa kihalali kama raia mwema wa Tanzania na Kibali cha uwakili pia ni chake kilitolewa na mamlaka husika kutokana na kisomo chake na uzoefu wake katika taaluma husika kwa hiyo hakiwezi kukabithiwa kwa Chato Bush Lawyer yeyote. Vilaza wa Usukumani wanaanza kujitokeza!
 
Hiyo Passport ni ya kwake aliyopewa kihalali kama raia mwema wa Tanzania na Kibali cha uwakili pia ni chake kilitolewa na mamlaka husika kutokana na kisomo chake na uzoefu wake katika taaluma husika kwa hiyo hakiwezi kukabithiwa kwa Chato Bush Lawyer yeyote.

Passport yetu na Mali ya Serikali ya JMTZ inaweza kuchukuliwa muda wowote ule na Serikali, Kibali cha uwakili Tanzania ni mali ya Serikali ya JMTZ na kinaweza kuondolea muda wowote ule muulize Fatuma, ...
 
Tumeshinda kwa kishindo 80% na ushee ila hakuna mwananchi anashangilia ushindi hata kuuuongelea. Utafikiri ni msiba wa Nyerere ndiyo ulitia simanzi sana Taifa. Yaani sielewi kabisa ni kwa nini hatushangiliwi.
Kwani jizi likivunja na kuiba Kuna sherehe inafanyika waziwazi?
Jiwe kashindwa hata kwenda kuhudhuria uapishwaji wa mkwapuaji mwenzie Znz..!
 
Passport yetu na Mali ya Serikali ya JMTZ yetu inaweza kuchukuliwa muda wowote ule na Serikali, Kibali cha uwakili Tanzania ni mai ya Serikali ya JMTZ na kinaweza kuondolea muda wowote ule muulize Fatuma, ...
Hivi unaelewa maana ya serikali?
 
Passport yetu na Mali ya Serikali ya JMTZ yetu inaweza kuchukuliwa muda wowote ule na Serikali, Kibali cha uwakili Tanzania ni mai ya Serikali ya JMTZ na kinaweza kuondolea muda wowote ule muulize Fatuma, ...
Nahs sku usalama wakikufata utawapa ur black ass kisa tu wamesema ur black ass ni mali ya serikali..
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu.

Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House)...
Kuna Mambo mawili yamenichanganya katika haya Maelezo yako 1. Lissu Kukamatwa pamoja na Walinzi wake kwani nilidhani huu ndiyo ulikuwa muda muafaka kwa hao Walinzi wake Kutuonyesha Watanzania na hao Mapolisi kuwa Wao 'wameiva' vyema 'Kimedani' na kwamba 'wangewadindia' Mapolisi na ikiwekezana hata kuwapa 'Kipondo' badala yake pamoja na Ulinzi wao bado waliweza kubebwa 'mzobe mzobe' hadi huko Polisi.

2. Uliposema kuwa hadi Balozi nae 'alikamatwa' na kwenda hapo 'Central Police' pia 'imenishtua' kwani kwa nijuavyo ni kwamba 'Kidiplomasia' na kwa 'Makubaliano' ya 'Vienna' Watu kama hawa 'Mabalozi' huwa wanakuwa na 'Diplomatic Immunity' na kwamba kuwakuta huko Polisi tena wakiwa 'wamekamatwa' kama ulivyotuhabarisha hapa ni jambo lisilowezekana labda kama hizi 'Sheria' zimefanyiwa 'Marekebisho' siku za hivi karibuni.

Uchaguzi umeshaisha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo GENTAMYCINE nipo na naishi ni Ndugu John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wake ni Mama Samia Suluhu Hassan. Kama kuna Mtu ana 'Kisununu' chake juu ya Uchaguzi Mkuu uliomalizika ambao Mimi nauona ndiyo ulikuwa huru na haki kuliko hata ambao unaenda Kufanyika nchini Marekani Kesho basi aende upesi sana 'Mahakamani' akalalamike. Kuandamana baada ya Uchaguzi Mkuu Kumalizika ni Kujitafutia tu 'Tiketi' yako ya haraka kuyaanza Maisha mapya Kaburini.
 
Angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.

Mara nyingi unapenda sana kutoa hukumu za kuua,
Inaonesha jinsi ulivyo katili na mwenye roho mbaya sana na si hivyo tu inaonesha wewe ni muuaji mzoefu usiyehisi hatia tena inaonesha huwa unawauwa watu huku unacheka,

Shame on you na kifo chako kitakua cha kidhalili sana.
 
Kama haki yangu kuuliwa niuliwe tu, ila ujinga ni jambo baya sana, hata mjinga mwenyewe hapendi kuitwa mjinga.

Sijawahi kuwa dikteta.
Kuuliwa huuliwi na ujinga ubaki nao, tunaishi dunia ya wastaarabu na leo la maisha ni kuishi na kutofautiana ndio ubinadamu wenyewe. Kila mtu ana haki ya kuishi so kuua ni kwenda kinyume na universal declaration of human Rights ambayo Tanzania na yenyewe imesaini hyo kitu kuhusu haki za watu
 
Mara nyingi unapenda sana kutoa hukumu za kuua,
Inaonesha jinsi ulivyo katili na mwenye roho mbaya sana na si hivyo tu inaonesha wewe ni muuaji mzoefu usiyehisi hatia tena inaonesha hua unawauwa watu huku unacheka,

Shame on you, na kifo chako kitakua cha kidhalili sana.
Mimi sihukumu bali naelezea stahiki za watu.

Hukumu ya kifo kwa watu madhalimu na mafisadi ni haki kwao na hili si geni na hukumu hii huwa ina hekima kubwa sana na kuondoa uovu.

Chukulia leo hii mashoga, au wasagaji na wasagwaji au mafisadi au wasaliti au wachochezi na wavunja amani wangekuwa wanauwawa, heshima ingekuwepo.
 
Mimi sihukumu bali naelezea stahiki za watu.

Hukumu ya kifo kwa watu madhalimu na mafisadi ni haki kwao na hili si geni, na hukumu hii huwa ina hekima kubwa sana na kuondoa uovu.

Chukulia leo hii mashoga, au wasagaji na wasagwaji au mafisadi au wasaliti au wachochezi na wavunja amani wangekuwa wanauwawa, heshima ingekuwepo.
Nilijua hao mashoga na wasagaji waliuliwa kipindi cha Sodoma na Gomora kumbe wamezalika wengine? Hahaha

Wezi mnawachoma moto kila siku je wizi umeisha?

Acha ujinga unadhani watu wakiuliwa kama unavyotaka, wewe ndio utapewa pepo? Tena wewe ni kuni ya kuchochea wengine lol.
 
Kuuliwa huuliwi na ujinga ubaki nao, tunaishi dunia ya wastaarabu na leo la maisha ni kuishi, na kutofautiana ndio ubinadamu wenyewe. Lila mtu ana haki ya kuishi so kuua ni kwenda kinyume na universal declaration of humani Rights ambayo Tanzania na yenyewe imesaini hyo kitu kuhusu haki za watu
Hapa kwenye ustaarabu ndiyo huwa mnalibaka hili neno.

Lakini nakupa udhuru bibie...
 
Huwa namuomba sana Allah anipe mwisho mwema, na hili sidhani sababu huwa nafanya mambo ambayo humuepusha mja kutokufa kifo cha kidhalili.
Kwa roho yako mbaya na ukatili wa kuua watu hiyo pepo utaionea wapi?
Wewe ni kuni tena mbichi, jiandae kuchomwa.

Tena nakwambia utakufa kifo cha majuto, chenye kiu na mateso, utakufa mdomo wazi.

(Muone alivyoanza kuogopa hahaha [emoji83][emoji88])
 
Serikali inavyofanya haikubaliki katika nchi nyingi za wenzetu. Maandamano ya Amani sio kosa ila serikali inaogopa picha yake kupakwa tope. Waziri wa mambo ya nje wa US mike pompeo kahoji hali inayoendelea na akisema suu tunaelekea walikokua zimbabwe
 
Back
Top Bottom