Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Hiyo Passport ni ya kwake aliyopewa kihalali kama raia mwema wa Tanzania na Kibali cha uwakili pia ni chake kilitolewa na mamlaka husika kutokana na kisomo chake na uzoefu wake katika taaluma husika kwa hiyo hakiwezi kukabithiwa kwa Chato Bush Lawyer yeyote. Vilaza wa Usukumani wanaanza kujitokeza!Safi sana, akabidhi passport yetu, kibali chetu cha uwakili Tanzania.