Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Mlijua kuna wa kuwagwaya wazungu wenu?

Tuliwaambia mkajitia kichwa ngumu

Lilikuwa suala la muda tu ana kesi kibao za kujibu

Na bado wengine
 
Hiyo ni kazi ya jeshi.

Nafikiri walimalizana nalo hilo.
Wewe ni mjinga wa asili , watu kama ww ni hasara tupu, watu wanakatwa vichwa huko unathubutu fungua mdomo kutetea ujinga
 
Ona hii takataka, mbona mnashindwa nasa au zuia uvamizi wa hao magaidi wanao vamia mikoa ya kusini hapo kila uchwao??
Msamehe ana matatizo ya kupenda kupitiliza.
 
Hakuna sababu zingine zaidi ya zile za kisiasa.

CCM ‘imeshinda’ kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwa nini ina behave Kama watu walioshindwa na ambao wanatumia mabavu kubakia madarakani?
Hatari sana hii... Mwisho wa siku wanaweza kuungwa kwenye ile kesi ya mauaji ya ndugu yake Mh. Wenje huko rorya!!!
 
Alikwenda kuomba aslam seeker? so sie kina chande tusiojulikana tungekimbila wapi?
 
Wanakosea sana.

Magufuli anajiharibia mno.
Kwani kesi ya kushambuliwa iliisha?

Ulikuwa unasubiriwa upepo wa uchaguzi tu msifikiri anakamatwa sababu ya uchaguzi japo inaweza kuwa moja ya sababu
 
Serekali imedhamiria kwa dhati kujipindua yenyewe naona.
Unaota ndoto za kijinga kama nini sijui,maneno hua mnayasema na nini hua kinatokea?

Hamjielewagi nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…