Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Kwa udhalimu aliotaka kulifanyia taifa hili asitoke mpaka 2025
 
Reactions: T11
Wewe ni mjinga wa asili , watu kama ww ni hasara tupu, watu wanakatwa vichwa huko unathubutu fungua mdomo kutetea ujingaView attachment 1618085
Hiyo ni operesheni endelevu ambayo yafahamika imepikwa kwa makusudi kuleta tafrani Tanzania.

Hivyo JWTZ wanaendelea na kazi ya kupambana.

Serikali ilichofanya ni kuzima mitandao ili kuzia "abuse" katika kutuma taarifa na ujumbe.

Ikiridhika na hali itaruhusu mitandao itafunguliwa.
 
Thubutuuuu hamuigopwi nyinyi, viongozi wenu wala wazungu wenu
 
Labda ili Amalizane na kesi zake kabla ya kuvuliwa ubunge,ila wangemsamehe tu sasa watamlazaje lockup na majeraha aliyonayo.
 
Sina muda wa kusikiliza huo utumbo wapelekee hao polisi unao wasifia, kwa yeyote aliyepanga mbona hilo jeshi lenye ueledi halikuwakamata hadi leo?
No problem.
 
Hiyo ni operesheni endelevu ambayo yafahamika imepikwa kwa makusudi kuleta tafrani Tanzania...
Wewe ni takataka narudia tena, hao jamaa wako hapo Mozambique mwaka wa tatu sasa

Haya majibu ya kijinga mnapofeli sehem mnasingizia uzalendo , sijui mabeberu , mnajifanya kua victim, ujinga mtupu, mkijadili huko lumumba acheni huko huko lumumba msije jiabisha mbele za watu, shenz
 
Inawezekana.

Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.

Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…