Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Kwa udhalimu aliotaka kulifanyia taifa hili asitoke mpaka 2025
 
  • Thanks
Reactions: T11
Wewe ni mjinga wa asili , watu kama ww ni hasara tupu, watu wanakatwa vichwa huko unathubutu fungua mdomo kutetea ujingaView attachment 1618085
Hiyo ni operesheni endelevu ambayo yafahamika imepikwa kwa makusudi kuleta tafrani Tanzania.

Hivyo JWTZ wanaendelea na kazi ya kupambana.

Serikali ilichofanya ni kuzima mitandao ili kuzia "abuse" katika kutuma taarifa na ujumbe.

Ikiridhika na hali itaruhusu mitandao itafunguliwa.
 
Wrong strategy...hawa polisi wamesomea wapi huu ujinga aisee. Kuwakamata viongozi wetu kama njia ya kuzima maandamano ndio wanazidi kutuprovoke.

We will not be silent, tutaenda kuvamia vituo vya polisi na kutoka na viongozi wetu, so polisi should foresee whether umma utakapovamia vituo vya polisi kama wao watakuwa wana-exist alive
Thubutuuuu hamuigopwi nyinyi, viongozi wenu wala wazungu wenu
 
Labda ili Amalizane na kesi zake kabla ya kuvuliwa ubunge,ila wangemsamehe tu sasa watamlazaje lockup na majeraha aliyonayo.
 
Hiyo ni operesheni endelevu ambayo yafahamika imepikwa kwa makusudi kuleta tafrani Tanzania...
Wewe ni takataka narudia tena, hao jamaa wako hapo Mozambique mwaka wa tatu sasa

Haya majibu ya kijinga mnapofeli sehem mnasingizia uzalendo , sijui mabeberu , mnajifanya kua victim, ujinga mtupu, mkijadili huko lumumba acheni huko huko lumumba msije jiabisha mbele za watu, shenz
 
7E7F82D9-53E4-45FE-BD4B-2E877CB74DCA.jpeg
 
Inawezekana.

Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.

Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
😀😀😀
 
Back
Top Bottom