Hii ishu ya hao madogo itakuwa na mambo mengi yamejificha, ukweli utajulikanaKuna muda nlicomment!
"Je hawa vijana wanajishugulisha na nini" kumbe wanauza sim
Je wanauzia dukani,wana duka au wanauza sim za deal!
Ukifatilia wote waliyokombwa wanajishuglisha na sim hapo kko.....
Je inawezekana waliyakanyaga mahali au!
Ova
Mi milikuwaga nawaza uji wali.sisomi mpaka ninywe uji wali na miogo ya kukaanga.nashushia na gubiti na pipi karanga nazifata Nera.Wakati wenzako wanafundishwa wewe ulikua unawaza sanne ifike ukale visheti, bagia na viazi, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Simu iliyopigwa ikaita isipokelewe ndio itawapa last locationAt least hiyo gari yao ingekuwa na GPS ingeonesha location ilipo au last point.
Wanaweza kua polisi fake...Mmoja wa hao vijana aliwajulisha ndugu kuwa wamekamatwa na polisi
Duuu uliisoma wapi hiyo?Mi milikuwaga nawaza uji wali.sisomi mpaka ninywe uji wali na miogo ya kukaanga.nashushia na gubiti na pipi karanga nazifata Nera.
Kuhusu hii story kuna nyingine nimeisoma jana kuna dada alitoka out na mwenzake
Wakapiga kilaji kisha yele mwenzake akaondoka na danga
Kilichotokea mwenzake hakuoatikana mpaka walipokuta maiti yake muhimbili ikiwa imeondolewa figo
HILI JAMBO LINATISHA WAKUU MUWE NA TAHADHALI
HIZI OUT KUWENI MAKINI NAZO KAMA NDO TUMEANZA KUIBIWA FIGO KWA KUTEKA WATU
TUWE MAKINI
Mungu awapiganie na kuwalinda huko waliko kama bado wako hai
Vijana hawa watano wakazi wa Dar es salaam, TAWFIQ MOHAMED, SEIF SWALA, EDWIN KUNAMBI, HEMED ABASS na RAJABU MDOE wamepotea katika mzingira ya kutatanisha tangu tarehe 26.12.2021 hawajaonekana mpaka leo hii.
Taarifa za ndugu zinasema siku ya mwisho mmoja wao alituma msg kwamba wamekamatwa maeneo ya 'Kariakoo, Kamata' wakiwa kwenye gari IST nyeusi wanapelekwa Central lakini ndugu walipofuatilia polisi Central na vituo vingine vyote DSM hawaonekani. Hata kwenye vyumba vya kuhifadhia maiti miili yao haipo.
Tunaomba kila mwenye kuona asambaze picha hizi au mwenye taarifa apige no hizi.. 0764533335, 0786247106.
tupe source mkuuPolisi, Wanadai mmoja kapigwa risasi watano ndio bado hawajulikani walipo
Tupe source mkuuHuyo kamanda si ndiye kiongozi wa wasiojulikana!
Nn ttzo mkuu , mbona high kiihivyowe mbona kama unajua zaidi??
Chukua ya tomatoTupe source mkuu
CCM imeingiaje hapa?kweli CCM ni janga la taifa, Duu !……...
Wanaharakati, wale mashangazi na wanasiasa wapo kimya,ila ingekuwa enzi ya Mwendazake kelele mtindo mmoja.Kwani haya mambo si mlikuwa mnasema yamfanywa na Magufuli? Na alipokufa si mlishangilia sana?
Sasa hiyo katiba inahusika vipi tena?
Sina elimu.Tofautisha ishu za Kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Kama unaelimu huwezi shindwa kutofautisha visa kulingana na nyanda hizo tatu.
Mtu anaweza kupotea Kwa sababu za Kisiasa, kijamii au kiuchumi kulingana na nafasi na hadhi yake katika jamii yake.
Hata mm bro nimeona mpaka picha yako huyo mdada maskini hii biashara ya FIGO au viungo vya watu imeshika nguvu dsm na target kubwa ni kwenye sehemu za starehe na bar .Huu mtandao wa figo unakuwa kinyama dada zetu na walevi ndio victims inafaa serikali iangalie hili jambo mara moja Surgical Doctotrs wasajilie na wachunguzwe .Mi milikuwaga nawaza uji wali.sisomi mpaka ninywe uji wali na miogo ya kukaanga.nashushia na gubiti na pipi karanga nazifata Nera.
Kuhusu hii story kuna nyingine nimeisoma jana kuna dada alitoka out na mwenzake
Wakapiga kilaji kisha yele mwenzake akaondoka na danga
Kilichotokea mwenzake hakuoatikana mpaka walipokuta maiti yake muhimbili ikiwa imeondolewa figo
HILI JAMBO LINATISHA WAKUU MUWE NA TAHADHALI
HIZI OUT KUWENI MAKINI NAZO KAMA NDO TUMEANZA KUIBIWA FIGO KWA KUTEKA WATU
TUWE MAKINI