DAR: Viongozi wa Dini kufanya mkutano kuanzia tarehe 28/10 hadi 30/10 katika ukumbi Mlimani City

Chadema ni genge la wahuni, msajili wa vyama alipaswa kulifuta genge hili mara moja.
 
Angalia usifutwe wewe kabla ya CHADEMA. Maana ukilala na kuamka ni CHADEMA. Huyo tapeli msigwa kazungumza kuhusu kikao cha viongozi wa dini, wewe unaleta mambo ya CHADEMA.
 
Katambi hajifunzi kama wenzake tulia ackson,madilu na nchimbi.!
Atakuja kupigwa teke la punda hatoamimi
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026.

Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha ushirikiano na Serikali pamoja na kupendekeza maboresho ya sera, sheria na taratibu zinazohusu utekelezaji wa majukumu yao.

Aidha, washiriki watajadili masuala ya haki, ustawi wa jamii, amani, usalama na mshikamano wa taifa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano huo.

Fika ili uhesabiwe

Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Naona mnalazimisha kujitia huruma kwenye hiyo kumbukizi ya Mo29, mmewashalipw viongozi njaa kuja kuongea utopolo wa majizi ya kura.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026.

Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha ushirikiano na Serikali pamoja na kupendekeza maboresho ya sera, sheria na taratibu zinazohusu utekelezaji wa majukumu yao.

Aidha, washiriki watajadili masuala ya haki, ustawi wa jamii, amani, usalama na mshikamano wa taifa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano huo.

Fika ili uhesabiwe
KKKT ndiye mwandamizi mkuu chini ya Malasusa.
 
labda kwaajili ya kumbukizi ya oct 29 na ibada,dah ila wamemuhawi twaha mwaipaya angetupia mapicha picha hiyo siku ya kumbukizi
 
Back
Top Bottom