Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Rais wa wanyonge bado yupo chato? Au yupo ziara kwenye hifadhi za taifa? Nauliza tena vetting ilifanyika kumpata rais wa Tanzania?
 
Hahaha kwa sababu alikuwa anafanya kazi ya Chama cha Mapinduzi , HAWEZI KUFUTWA KAZI. Badala yake ATAPANDISHWA CHEO.
 
Wapo wenye uwezo wa kuandika miandiko mitatu mpaka minne tofauti kwa ufasaha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah so sad, ila MUNGU anajua makusudi ya haya mambo.
 
Kuomba utapoteza muda bure, hawa watu wanahitaji mikakati ya kuwakabili na sio maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anasema sheria na utaratibu mwingine tuliojiwekea kama taifa unamchelewesha You cant imagine kama huyu mtu yuko hivi na ana elimu ya kiwango cha PhD sasa asinge soma angekuwaje?
 
Nilishafikia Uamuzi wa Kumkamata Askari mmoja Nimng'ang'anie Koo ikibidi nife naye kupinga Uonevu,Dhuluma na Ukandamizaji,Muda Sijui tungekuwa wapi Wote?
Tukisema huyo jamaa ni mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji huko chadema mnapinga
Jamaa linajisifia wazi wazi jinsi linavyoweza kutoa roho ya binadamu kisa umeya,piga hesabu kaua wangapi kwenye uchaguzi wa urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…