Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Nawahukuru Sana hawa Maaskari kwa Kutii kuacha kuninyang'anya Daftari la Mauzulio ambalo CCM waliweka Jina na sahihi ya Mjumbe ambaye yupo Nje ya Nchi. (Wamefoji Mahudhurio)

Nilishafikia Uamuzi wa Kumkamata Askari mmoja Nimng'ang'anie Koo ikibidi nife naye kupinga Uonevu,Dhuluma na Ukandamizaji,Muda Sijui tungekuwa wapi Wote?

Inatia hasira Sana Pale unapoona Kuna Watu wanajiona Wao wanahaki ya kufanya jinai,Kufoji na Uharamia wa kila aina,Mbaya zaidi kwa Kutumia Vyombo vya Dola.

Kilichotolea baada ya Hapa ni Kwamba CCM wakosa 2/3 ya Baraza ambayo ni Kura 17 za kumuondoa Meya madarakani,Wamepiga Kura Zao 16 tuhView attachment 1317315
Rais wa wanyonge bado yupo chato? Au yupo ziara kwenye hifadhi za taifa? Nauliza tena vetting ilifanyika kumpata rais wa Tanzania?
 
Hahaha kwa sababu alikuwa anafanya kazi ya Chama cha Mapinduzi , HAWEZI KUFUTWA KAZI. Badala yake ATAPANDISHWA CHEO.
 
Majina yaliyoandikwa kwenye hiyo karatasi, hakuna mwandiko uliojirudia. Inawezekana mojawapo ya mambo mawili limetokea; ama Kassim Mshamu alisaini halafu akaondoka ukumbini, au kuna mtu asiyekuwa mjumbe alikuwamo ukumbini kinyume cha taratibu akasaini jina hilo huku akijua Kassimu hayupo.

Wapo wenye uwezo wa kuandika miandiko mitatu mpaka minne tofauti kwa ufasaha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah so sad, ila MUNGU anajua makusudi ya haya mambo.
 
Wadau Sasa binafsi nimeelewa ni kwanini ilitumika nguvu kubwa kwenye uchaguzi was serikali za mitaa.

Sasa hebu tujiulize ikiwa madiwani wanataka kutoana macho hadharani, je huko tuendako kwenye uchaguzi mkuu nini kitatokea? Niombe tu, wote kwa pamoja tusaidiane kuliombea taifa letu.
Kuomba utapoteza muda bure, hawa watu wanahitaji mikakati ya kuwakabili na sio maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini ushindane na ukuta wakati mlango upo? vitu vingine vinatia aibu sana kwa kweli kama lengo ni kumuondoa huyu bwana katika nafasi ya meya wa jiji kwanini wasisubiri oktoba ya mwaka huu ambao ni mwaka wa uchaguzi wakamalizana nae taratibuu kuliko hivi sasa kila mtu anashangazwa na nguvu hii inayotumika.
Magufuli anasema sheria na utaratibu mwingine tuliojiwekea kama taifa unamchelewesha You cant imagine kama huyu mtu yuko hivi na ana elimu ya kiwango cha PhD sasa asinge soma angekuwaje?
 
Nilishafikia Uamuzi wa Kumkamata Askari mmoja Nimng'ang'anie Koo ikibidi nife naye kupinga Uonevu,Dhuluma na Ukandamizaji,Muda Sijui tungekuwa wapi Wote?
Tukisema huyo jamaa ni mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji huko chadema mnapinga
Jamaa linajisifia wazi wazi jinsi linavyoweza kutoa roho ya binadamu kisa umeya,piga hesabu kaua wangapi kwenye uchaguzi wa urais
 
Back
Top Bottom