Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Amedhalilika mchana kweupe. Hii ni baada ya kufoji jina ili apate akidi ya kutosha kumuondoa Meya halali Mh Isaya Mwita ili kuisaidia CCM kwa maelekezo ya Makonda.



Your browser is not able to display this video.
 
Lakini ni mambo ya aibu sana. Inatutia doa sana kimataifa.. Huwezi kuamini mambo kama haya yana fanywa na Chama. Kikongwe Afrika.. Yaani nimeangalia ile video nilitamani kulia.. Ccm wana fanya mambo ya aibu.. Hawajui uongozi ni dhamana.. Halafu watatuambia tulinde amani.. Ipi???? Wakati wao ndio wavunjifu wa amani?? Halafu huu upuuzi unafanywa na watendaji wale wale wa TAMISEMI ambao wako ofisi ya rais.. Jamaniii
 
Sikuamini nilipo sikia sauti ya mkurugenzi eti bila ya aibu anaitisha hiyo attendance register eti amfute huyo diwani waliyo mtumia kufoji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ccm wanafanya hayo yote ili kutuletea Wananchi Wanyonge maendeleo.

Hivyo Jacob aache kuzuia maendeleo.
 
Watasha wana msemo wao unasema "Time is Money". Muda waliotumia kujadili upuuzi, ungetumika kujadili maendeleo, mali ingepatikana. Hawajapoteza muda tu, pesa pia iliyokwisha patikana kabla, imetumika kulipia posho.

#Tutafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…