Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umewekewa video pale juu
Inatia hasira Sana.......
Lengo lao kupata akidi ya kumng'oa Meya halali Isaya MwitaKulikuwa na ulazima huo kwa nini?
Hebu ongeza nyama kidogo ili tuelewe vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuamini nilipo sikia sauti ya mkurugenzi eti bila ya aibu anaitisha hiyo attendance register eti amfute huyo diwani waliyo mtumia kufojiNimefurahishwa sana na njia aliyo onyesha Meya Jacob katika kikao cha Halmashauri ya Jiji la Dar kilicho kuwa kimepangwa ili "kumkomesha" Meya wa Jiji Isaya Mwita baada ya kukataa kuwa na bei ya kuunga mkono juhudi.
Akidi haikutimia kwa wajumbe wa CCM hivyo wakaamuwa kufoji jina la Diwani ambaye hayupo na kusaini.
Jacob akashtukia mchezo na kuchukua attendance register ili kuonyesha ulimwengu hila za CCM katika vikao halali unaofanywa na Mkurugenzi kushirikiana na madiwani na Wabunge wa CCM akiwemo na Mheshimiwa Zungu ambaye ni mwenyekiti wa Bunge asiyepaswa kabisa kushiriki tabia kama hizo.
Walipotaka kumdhibiti kwa kutumia polisi Boniphace alijipanga tayari kutembeza MKONO NA KUNG FU kiasi waka gwaya kumkabili.
Kinachoundwa ni kuhakikisha Meya anakuwa wa CCM kwa gharama yeyote na bila aibu.
Mtindo aliotumia Boniphace ni wakuiga maana CCM hawana aibu hivyo kuna wakati ikibidi kuwapa kichapo ni sawa tu.
Ama kweli 2020 ni #NoHateNoFear