Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

Kusema ukweli CCM kama chama kikongwe na tawala chenye kushika dola kinatia aibu sana na kuleta fedheha ktk masuala ya uchaguzi. Tuhuma zenyewe ni ubabaishaji mtupu, tume ilikuwa inaendesha huo uchunguzi ni "zero brains" tupu na hata huo mchakato wa uchaguzi wenye kuhusisha watu 16 tu, bado wanataka kuchakachua matokeo!? Ama kwa hakika CCM hii upuuzi wowote ule ktk masuala ya uchaguzi unaweza kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia Wakudadavuwa Nanyaro Ephata tufanye hii aliyoonyesha meya iwe ndo staili mpya ya siasa zetu. Mimi nauunga mkono,maana itabidi watu wafanye mazoezi,gym zitajaa,magonjwa yasiyo ya kuambukiza yatapungua,wazee na wagonjwa watajitoa kwenye siasa za moja kwa moja(watashauri). Huu mtindo niliuona Kenya,Afrika kusini
 
Haya maneno Watanzania wengi wanayasemea Moyoni na chini chini.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm wana jipa kiburi kwa vile polisi wana fanya kazi zao. Badala ya kulinda raia na malizao wao wana linda Ccm na viongozi wao.. Ila nguvu ya umma ikiamua hata hao polisi hawata tosha. Yaani hata Zungu ana shiriki hii haramu? Mwenyekiti wa shughuli za bunge??? /Haoni hata huo umri wake haufai kubariki ushenzi? Ati Alhaj??? Njaa nyingine ni mbaya sana
 
Ukweli ni kwamba CCM ishakufa ni suala la muda tu,ili mateke ya kifo yamalizike

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ccm imekufa.... bila polisi ccm, mahakama, wakuu wa mkoa na wilaya .ccm ni wepesi kuliko pamba. Ndio maana mwenyekiti wa ccm unaogopa siasa za ushindani wa majukwaaani kama ukoma!
Mwenyekiti wa ccm hapendi ushindani wa aina yoyote ile.
 
Kwa hiyo hilo jaribio la Mapinduzi ya Meya ni batili
 
MADHARA YA MKOA KUONGOZWA NA MWIZI WA VYETI YAPO BAYANA KABISA MACHONI MWETU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…