Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

Mkuu hujawahi kwenda mahabusu Kwa kesi ya uzururaji ,
Kufika mahakamani ukapewa murder Case?
Tena mpo 10 kwenye kesi na wote hamjuani.

Kesi za kubambikiwa zipo sn bongo.
Aise ngoja tu ni ninyamaze MUNGU anisamee na aniepushie mbali, kwa hali iliopo nikweli kabisa kwa waongoza njia hawa anakupeleka baharini hivi hivi unajiona.
 
Mzee hujui maana ya "kula njama" aliefyatua risasi ni mmoja lakini njama ya kunuia na mpango mzima ulipangwa na watu 11. Kwa iyo wote lazima wapigwe kitanzi wafe kwenye kamba na wanye mavi. Ukinyongwa kwa kamba mpaka "unye" na unazikwa na kimba.
Wote ni washiriki lakini sheria za nchi nyingi zinatofautisha aliyepiga risasi na waliohusika kupanga mipango au usaidizi wa mauaji maana unaweza kushiriki lakini usijue intention ni kuua lakini ukifyatua risasi wewe ndio muuaji kabisa (premeditation)....homicide VS manslaughter
 
Hayo ni ya nchi "nyingi" kama unavyosema mi naongelea Tanzania yaani bongo hii nchi yetu pendwa.
 
Wote ni washiriki lakini sheria za nchi nyingi zinatofautisha aliyepiga risasi na waliohusika kupanga mipango au usaidizi wa mauaji maana unaweza kushiriki lakini usijue intention ni kuua lakini ukifyatua risasi wewe ndio muuaji kabisa (premeditation)....homicide VS manslaughter
Kabisa mkuu,,

Ila hapa kwetu hata ukimpa mtu lifti ya gari na hujuwi ulipomshusha amefanya tukio gani,,
Kama wakifanya mauaji na wewe umo...

Wewe ni kunyongwa tu..

Inchi ngumu sn hii,,
 
Kabisa mkuu,,

Ila hapa kwetu hata ukimpa mtu lifti ya gari na hujuwi ulipomshusha amefanya tukio gani,,
Kama wakifanya mauaji na wewe umo...

Wewe ni kunyongwa tu..

Inchi ngumu sn hii,,
Daa jamani
 
Mwaka 2020 kuna tukio la wizi lilifanyika eneo fulani wilaya ya ubungo,,
Haijulikani haswa nini kiliibiwa huko na ni muda gani tukio lilifanyika.

Basi lilitokea seke seke eneo lote la wilaya ya ubungo ukikutwa unazagaa zagaa kijiweni,,
iwe mchana au usiku hakuna kuulizwa,,
Wewe ni kubebwa hadi kituo Cha Police gogoni.

Walisombwa vijana kadhaa zaidi ya 100 bila hatia...
Wazazi waliowahi mapema walifanikiwa kuwatoa vijana wao Kwa PESA si chini ya 400,000/..Kila mmoja.

Mbaya zaidi wale vijana wote waliobaki mahabusu, walipewa robbery case na na wengine wakapewa kesi ya wizi wa kutumia silaha na kubaka kimada wa kigogo mmoja wa CCM maeneo fulani ya huko.

Hivi ninavyoandika comment hii,wapo walioachiwa Kwa PESA ndefu na wengine hadi Leo wapo ndani..segerea Kwa kubaka kimada wa kigogo na robbery.

Tena police wanaongea kabisa kwamba tunahitaji PESA kadhaa,,
kama mkichelewa sisi tunawapa ROBBERY CASE..

Inchi ngumu sn hiyo..

Kufungwa Kwa tuhuma nzito ni jambo linalowezekana hata kama hukuhusika...
 
Daa jamani
Kabisa mkuu..

Kuna siku nipo bank nikamuona jamaa fulani namfahamu,,
nae yupo humo humo bank,

Nikajikausha kama simjuwi.

Maana mnaweza kusalimiana na mtu baadae akafanya uhalifu ukaonekana na wewe umeshiriki..

Inchi ngumu sn hiyo..

Hakuna deep investigation yeyote inayofanyika zaidi ya kubinya mbupu za mtuhumiwa,

Unategemea mtuhumiwa ataacha kukiri kuhusika?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nacheka kama mazuri, kaka mmoja alikuwa akiiba na shemeji yake siku alikamatwa alifinywa akasema yote kawapeleka mpaka kwa shemeji yake, alipotoka alikuwa anaapa kuiba tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna atakayeminywa mbupu asiongee hata uongo .

Mradi jamaa wasitishe kubinya koleo.
 
Hakuna atakayeminywa mbupu asiongee hata uongo .

Mradi jamaa wasitishe kubinya koleo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiku mwema, umeme umerudi saa 6 kasoro ndiyo maana nimechangamka sahizi nchi hii !
 
Ismail machipsi na makoi wameangukiwa na jumba bovu. Hawa watu hawawezi kula njama hata ya kuuwa mende.

Makoi mda wote yupo Arusha kwenye duka lake la dawa anauza.

Machips mtoto mdogo sana wa kiswahili/msomali wa kaloleni hawezi kuwa na hii misheni kubwa namna hii. Machips anafahamika ni jina maarufu mitaa ya hapo mjini kwa waswahili.
Aisee...
Yaani namjua hasa Ismail Machips, ni wa karibu mno, sijui ilikuwaje wakamchomeka humu....
 
Back
Top Bottom