Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
tumwombee tu mkuu. waweze kukata rufaa adhabu ipunguzweAisee...
Yaani namjua hasa Ismail Machips, ni wa karibu mno, sijui ilikuwaje wakamchomeka humu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumwombee tu mkuu. waweze kukata rufaa adhabu ipunguzweAisee...
Yaani namjua hasa Ismail Machips, ni wa karibu mno, sijui ilikuwaje wakamchomeka humu....
Ijumaa nilipelekwa rumande kesi yenyewe nimetembea na mke wa mtu na sijawah hata siku moja kumtongozasio kuridhika tu mkuu kuna watu wako magerezani kwa kesi ambazo hata hawazijui. ni Mungu tu.
Aisee...
Yaani namjua hasa Ismail Machips, ni wa karibu mno, sijui ilikuwaje wakamchomeka humu....
Sema wabongo washaanza kujifanya wanamjua uyo jamaa machips km vile huwa wanakua nae kila sehem za kwny harakat zakeNdugu jiridhishe kwanza kabla hujasema hivyo: kwenye hi kesi kila mtuhumiwa amehusika kwa njia moja ama nyingine.
1. Wa kwanza, Ismail Issa Machips yeye ndio alipewa dili na mchina na kutakiwa kutafuta hitman wa kumuua Lotter. Machips na huyo mchina walikutania Arusha. Kwenye kutafuta hitman akamuhusisha Makoi.
2. Wa pili ni Makoi, yeye alimtafuta Hitman baada ya kushirikishwa na Issa Machips. Na Makoi akapendekeza mtu anayeweza hiyo kazi ni Fahmi Karama. Hivyo Hawa wawili chimbuko la dili lote.
3. Wa tatu Rahma Mwinyi, yeye kazi yake ilikuwa kutunza silaha zilizotumika kumuua Lotter. Na silaha hizo alikuwa anaficha makaburini huko Temeke. Pia huyu Aziza aliingizwa kwenye hili dili na kaka yake Fahmi Karama na alikuwa saa zingine anawapikia msosi watuhumiwa wengine.
4. Wa nne Chambiie Juma, huyu alikuwa dereva taxi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA. Na Marehemu Wayne Lotter alikuwa mteje wake alipokuwa akifika KIA au kuondoka KIA. Yeye ndio alitoa taarifa kwa wauaji kwamba Mr Lotter ameshapanda ndege na anaelekea Dar.
5. Wa tano, Allen Mafue. Huyu ameingia kwenye hi kesi Kama mfadhili wa mauaji. Yeye ndiye aliyewalipa kiasi Cha millioni 20 za kitanzania akina Karama na ongiste. Na aliwalipa hizo fedha kwenye bureau de change yake.
6. Wa sita Ayoub Selemani Kihoi, yeye kazi yake kubwa ilikuwa kuwafuatilia kwa ukaribu Lotter na mwenzake na kuwapa taarifa wauaji. So kazi yake ilikuwa ni kumonitor na kuwafatilia akina Lotter wanapotoka na kwenda siku hiyo ya mauaji. Na kuwapa attention wauaji wawe tayari.
7. Wa Saba ni Abou Omary mchingile, yeye pamoja na Kihoi walikuwa pamoja kumonitor taxi waliyoitumia akina Lotter na kutoa taarifa imefika wapi na inaelekea wapi ili wauaji wawe attention.
8. Wa nane, Michael David Kwavava, huyu ndio alikuwa dereva taxi wa Mr Lotter ndio aliyemtoa JKIA kumpeleka Baobab Village Masaki. Huyu dereva taxi alikuwa na mawasiliano na Fahmi Karama kabla siku ya mauaji hayajatokea. Na Fahmi alikuwa na mazungumzo naye kwa nusu kuhusu huo mpango wake.
9. Wa tisa ni Ndui mana ongiste raia wa Burundi. Huyu ndie aliyetekeleza mauaji kwa kumpiga Risasi Marehemu Lotter. Pia dereva taxi kwavara alimtambua kwenye identification parade iliyofanyika polisi. Pia alikuwa akishirikiana na Fahmi Karama kwenye mipango yote.
10. Wa kumi ni Godfrey Peter Salamba, huyu ndio alikuwa dereva aliyewaendesha wauaji. Ndio alikuwa dereva wa gari lilobeba wauaji.
11. Wa kumi na moja Hibonimana Augustine Nyandwi, raia wa Burundi . Yeye ndiye aliyeleta silaha iliyomuua huyo Lotter na pia aliratibu mambo mengine ya kufanya mauaji hayo.
yaani Machips aje apewe dili na mchina? sidhani sema kuna vigogo wapo. kwanini mpaka leo Fahame Karama haonekaniki je Yupo hai? machips deal zake haziwezi kuwa za kuua alafu huyo Makoi alihahidiwa kulipwa kiasi gani endapo deal ikitiki? au Makoi alitafuta muuaji basi bila makubaliano!? ukiangalia kwa undani kukosekana kwa Fahame Karama mpaka leo hii ambaye "anadhaniwa" hajulikani aliko inaonekana ilikuwa ni mpango wa kikundi flani kuzima ushahidi kwa "kumwondoa" Karama. machips na Makoi inaonekana huko polisi walikiri tu kutokana na mateso.Sema wabongo washaanza kujifanya wanamjua uyo jamaa machips km vile huwa wanakua nae kila sehem za kwny harakat zake
Fahame Almasi karama anaishi Dar Temeke. Makoi ni wa Arusha kuna mdau hapo kasema Makoi anashinda dukani kwake mara zote. ukiangalia hao jamaa mahakamani ni kama hawajuani vizuri.Sema wabongo washaanza kujifanya wanamjua uyo jamaa machips km vile huwa wanakua nae kila sehem za kwny harakat zake
Inaogopesha sana mkuusio kuridhika tu mkuu kuna watu wako magerezani kwa kesi ambazo hata hawazijui. ni Mungu tu.
Wanaowatetea Wana hoja nyepesi sana, eti yuko dukani muda wote 😆Ndugu jiridhishe kwanza kabla hujasema hivyo: kwenye hi kesi kila mtuhumiwa amehusika kwa njia moja ama nyingine.
1. Wa kwanza, Ismail Issa Machips yeye ndio alipewa dili na mchina na kutakiwa kutafuta hitman wa kumuua Lotter. Machips na huyo mchina walikutania Arusha. Kwenye kutafuta hitman akamuhusisha Makoi.
2. Wa pili ni Makoi, yeye alimtafuta Hitman baada ya kushirikishwa na Issa Machips. Na Makoi akapendekeza mtu anayeweza hiyo kazi ni Fahmi Karama. Hivyo Hawa wawili chimbuko la dili lote.
3. Wa tatu Rahma Mwinyi, yeye kazi yake ilikuwa kutunza silaha zilizotumika kumuua Lotter. Na silaha hizo alikuwa anaficha makaburini huko Temeke. Pia huyu Aziza aliingizwa kwenye hili dili na kaka yake Fahmi Karama na alikuwa saa zingine anawapikia msosi watuhumiwa wengine.
4. Wa nne Chambiie Juma, huyu alikuwa dereva taxi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA. Na Marehemu Wayne Lotter alikuwa mteje wake alipokuwa akifika KIA au kuondoka KIA. Yeye ndio alitoa taarifa kwa wauaji kwamba Mr Lotter ameshapanda ndege na anaelekea Dar.
5. Wa tano, Allen Mafue. Huyu ameingia kwenye hi kesi Kama mfadhili wa mauaji. Yeye ndiye aliyewalipa kiasi Cha millioni 20 za kitanzania akina Karama na ongiste. Na aliwalipa hizo fedha kwenye bureau de change yake.
6. Wa sita Ayoub Selemani Kihoi, yeye kazi yake kubwa ilikuwa kuwafuatilia kwa ukaribu Lotter na mwenzake na kuwapa taarifa wauaji. So kazi yake ilikuwa ni kumonitor na kuwafatilia akina Lotter wanapotoka na kwenda siku hiyo ya mauaji. Na kuwapa attention wauaji wawe tayari.
7. Wa Saba ni Abou Omary mchingile, yeye pamoja na Kihoi walikuwa pamoja kumonitor taxi waliyoitumia akina Lotter na kutoa taarifa imefika wapi na inaelekea wapi ili wauaji wawe attention.
8. Wa nane, Michael David Kwavava, huyu ndio alikuwa dereva taxi wa Mr Lotter ndio aliyemtoa JKIA kumpeleka Baobab Village Masaki. Huyu dereva taxi alikuwa na mawasiliano na Fahmi Karama kabla siku ya mauaji hayajatokea. Na Fahmi alikuwa na mazungumzo naye kwa nusu kuhusu huo mpango wake.
9. Wa tisa ni Ndui mana ongiste raia wa Burundi. Huyu ndie aliyetekeleza mauaji kwa kumpiga Risasi Marehemu Lotter. Pia dereva taxi kwavara alimtambua kwenye identification parade iliyofanyika polisi. Pia alikuwa akishirikiana na Fahmi Karama kwenye mipango yote.
10. Wa kumi ni Godfrey Peter Salamba, huyu ndio alikuwa dereva aliyewaendesha wauaji. Ndio alikuwa dereva wa gari lilobeba wauaji.
11. Wa kumi na moja Hibonimana Augustine Nyandwi, raia wa Burundi . Yeye ndiye aliyeleta silaha iliyomuua huyo Lotter na pia aliratibu mambo mengine ya kufanya mauaji hayo.
Wengi wa wanaofanya matukio ya kutisha huishi maisha ya kawaida kabisa. Ogopa sana mnyama anayeitwa mwanadamu.yaani Machips aje apewe dili na mchina? sidhani sema kuna vigogo wapo. kwanini mpaka leo Fahame Karama haonekaniki je Yupo hai? machips deal zake haziwezi kuwa za kuua alafu huyo Makoi alihahidiwa kulipwa kiasi gani endapo deal ikitiki? au Makoi alitafuta muuaji basi bila makubaliano!? ukiangalia kwa undani kukosekana kwa Fahame Karama mpaka leo hii ambaye "anadhaniwa" hajulikani aliko inaonekana ilikuwa ni mpango wa kikundi flani kuzima ushahidi kwa "kumwondoa" Karama. machips na Makoi inaonekana huko polisi walikiri tu kutokana na mateso.
Kwanini huyo mchina na huyo karama pia hawaja hukumiwa kunyongwa in absentia...?Ndugu jiridhishe kwanza kabla hujasema hivyo: kwenye hi kesi kila mtuhumiwa amehusika kwa njia moja ama nyingine.
1. Wa kwanza, Ismail Issa Machips yeye ndio alipewa dili na mchina na kutakiwa kutafuta hitman wa kumuua Lotter. Machips na huyo mchina walikutania Arusha. Kwenye kutafuta hitman akamuhusisha Makoi.
2. Wa pili ni Makoi, yeye alimtafuta Hitman baada ya kushirikishwa na Issa Machips. Na Makoi akapendekeza mtu anayeweza hiyo kazi ni Fahmi Karama. Hivyo Hawa wawili chimbuko la dili lote.
3. Wa tatu Rahma Mwinyi, yeye kazi yake ilikuwa kutunza silaha zilizotumika kumuua Lotter. Na silaha hizo alikuwa anaficha makaburini huko Temeke. Pia huyu Aziza aliingizwa kwenye hili dili na kaka yake Fahmi Karama na alikuwa saa zingine anawapikia msosi watuhumiwa wengine.
4. Wa nne Chambiie Juma, huyu alikuwa dereva taxi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA. Na Marehemu Wayne Lotter alikuwa mteje wake alipokuwa akifika KIA au kuondoka KIA. Yeye ndio alitoa taarifa kwa wauaji kwamba Mr Lotter ameshapanda ndege na anaelekea Dar.
5. Wa tano, Allen Mafue. Huyu ameingia kwenye hi kesi Kama mfadhili wa mauaji. Yeye ndiye aliyewalipa kiasi Cha millioni 20 za kitanzania akina Karama na ongiste. Na aliwalipa hizo fedha kwenye bureau de change yake.
6. Wa sita Ayoub Selemani Kihoi, yeye kazi yake kubwa ilikuwa kuwafuatilia kwa ukaribu Lotter na mwenzake na kuwapa taarifa wauaji. So kazi yake ilikuwa ni kumonitor na kuwafatilia akina Lotter wanapotoka na kwenda siku hiyo ya mauaji. Na kuwapa attention wauaji wawe tayari.
7. Wa Saba ni Abou Omary mchingile, yeye pamoja na Kihoi walikuwa pamoja kumonitor taxi waliyoitumia akina Lotter na kutoa taarifa imefika wapi na inaelekea wapi ili wauaji wawe attention.
8. Wa nane, Michael David Kwavava, huyu ndio alikuwa dereva taxi wa Mr Lotter ndio aliyemtoa JKIA kumpeleka Baobab Village Masaki. Huyu dereva taxi alikuwa na mawasiliano na Fahmi Karama kabla siku ya mauaji hayajatokea. Na Fahmi alikuwa na mazungumzo naye kwa nusu kuhusu huo mpango wake.
9. Wa tisa ni Ndui mana ongiste raia wa Burundi. Huyu ndie aliyetekeleza mauaji kwa kumpiga Risasi Marehemu Lotter. Pia dereva taxi kwavara alimtambua kwenye identification parade iliyofanyika polisi. Pia alikuwa akishirikiana na Fahmi Karama kwenye mipango yote.
10. Wa kumi ni Godfrey Peter Salamba, huyu ndio alikuwa dereva aliyewaendesha wauaji. Ndio alikuwa dereva wa gari lilobeba wauaji.
11. Wa kumi na moja Hibonimana Augustine Nyandwi, raia wa Burundi . Yeye ndiye aliyeleta silaha iliyomuua huyo Lotter na pia aliratibu mambo mengine ya kufanya mauaji hayo.
.Kwanini huyo mchina na huyo karama pia hawaja hukumiwa kunyongwa in absentia...?
Kama huyo karama yupo kwenye huu mpango amenyofokaje?
Huo mtiririko wa matokea umetengenezwa na wapuuzi fulani wasiojulikana....wa serikalini...
Yaani ni kwa kuwa machipsi miaka yake yote hiyo Arusha tokea ujana wake anajulikana mtu wa misheni town, wamemungushia jumba bovu tu....
Mkuu wewe unaongea vitu nadhani hayajawahi kukukuta,,Wanaowatetea Wana hoja nyepesi sana, eti yuko dukani muda wote [emoji38]
Kwahiyo waliohukumiwa sio walioua
wauaji wakuu ni hao warundi hao wengine walikula njama tuKwahiyo waliohukumiwa sio walioua?