Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi.
Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume.
Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98 haina maana yoyote kabisa kwa wanaume wenye pesa kwa sababu wanatembea na hivyo vitoto vya shule wanavihudumia na familia zao na maisha yanasonga..
Last week tumepata kesi mbili za mtoto wa dada angu na rafiki yake msichana ambao wana mahusiano na wavulana shuleni . Sista alifuma meseji dogo kubanwa ndo akafunguka kila kitu ndo nikapata kujua hali halisi ilivyo.