Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
983
Reaction score
2,306
Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi.

Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume.

Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98 haina maana yoyote kabisa kwa wanaume wenye pesa kwa sababu wanatembea na hivyo vitoto vya shule wanavihudumia na familia zao na maisha yanasonga..

Last week tumepata kesi mbili za mtoto wa dada angu na rafiki yake msichana ambao wana mahusiano na wavulana shuleni . Sista alifuma meseji dogo kubanwa ndo akafunguka kila kitu ndo nikapata kujua hali halisi ilivyo.
 
Waache wanyanduane tu wapate na mimba maana "mama"ameruhusu mtoto akizaa arudi shule;lakini wakumbushe huku kuna wazee wa "KATAA NDOA NA SINGO MAZA"wanawangoja[emoji4][emoji4][emoji30]
Waanze kutia huruma hapo baadae
Yani mtu unajua kabisa unapenda kuolewa na kuolewa nikumsikikzia muoaji anasema Nini na waoaji wenyewe wanataka vitu nyukwa,waache wajichanganye tu.Muda utaema nao maana wanadharau sana pale unapo waelekeza
 
Sasa Mzazi umempa mwenyewe simu mwanafunzi unategemea nini Kama siyo kutwa nzima kutongozwa kupitia hiyo hiyo simu?

Simu siyo nzuri kwa Wanafunzi, subiri afike umri wa kwenda chuo ndiyo angalau waweza mpaa simu yake mwenyewe!!
 
Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wwkiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi...
Kuna mwanmke gani asiependa macho matatu na kupewa hela na mazawadi? Wacha wenye hela wale mbususu hizo bwana.

Kama mzazi mwenyewe kaleta mtoto huku hajajipanga tutamsaidia tuu kumkuza binti yake
 
Back
Top Bottom