Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Kuna mitaa ukiwa unaishi vitu kama fegi bora uwe unanunua pakti yako, bia uwe Unapiga tarumbeta na vitu kama bangi bora uwe unanyonga mwenyewe. Wazungu wana mbinu nyingi ya kutrap wateja wao. Wanawaotea sana madogo wanaoendaenda sana batani. Unakuta dogo hataki kwenda kwa pusha mwengine zaidi ya anayemjua yeye kumbe ndio kashianasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
achana na yule kilaza dada.
sio ajabu kale ni kakijina ka chuo, kapo kwenye 20s na kenyewe kanajihisi kana audacity ya kukosoa watu kuhusu issue za malezi ya watoto.
 
Vijana wawili naona WAMATENGO wa mbinga na Mnaigeria mmoja ,wakalime kahawa pale mkwaya
 
Huyo mbele ni yupi kati ya hao watatu, wengine hatumfahamu, by the way marekani juzi tu hapa walitoa ripoti yao kwamba dar bado ni kitovu cha biashara nya ngada lkn uvccm walikuja kupinga humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wivu tu. Wamechomeana wenyewe kwa wenyewe. Zile report za kutikisa nchi Mbona hazikuwahi Tolewa.
Angalieni series ya queen of south muone zaidi. Kama marekani iliweza kumuua kiongozi wa Iran kwa drone from US to Iraq how comes wameshindwa kudhibiti biashara hii kwao. Take that example to other countries kama kwetu.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna familia nazifaham watoto malezi mazuri kabisa mmoja kaenda kusoma India karudi teja. Mwingine kaenda Malaysia karudi punga.
Huyu mchangiaji utadhani anaishi sayari nyingine.
 
Temea mate chini,Unaijuwa ngada wewe?Vitu vingine hata kama wewe ni Mjanja sema inabidi umtangulize Mungu mbele ili akulinde navyo.
wewe ngada unaijua?

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Muombee kwa Mungu wake asimpe jaribio maana mdomo uliponza kichwa,pole sana kwa majaribu Mungu akufungulie njia.
nini maana ya msemo " mdomo uliponza kichwa?

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Ardhi yenye rutuba na mito inayotiririka maji majira yote ya mwaka vyote buree! Kenya nao wasemeje ambako unazaliwa na kukulia kwenye ardhi ya Kukodi?
so Kenya hamna ardhi?

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
umeokoka?

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
nitaitafuta hiyo series


Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Kuna familia nazifaham watoto malezi mazuri kabisa mmoja kaenda kusoma India karudi teja. Mwingine kaenda Malaysia karudi punga.
ana tabia za kike kama mavazi,tabia na jinsi ya kuongea? asije akawa alikuwa
punga kabla hajaenda mbele

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…