Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Human trafficking pia wamo. Kuna documentary ya mabinti wa kiafrica wanapelekwa india kujiuza na mkuu wa issue nzima alikuwa mnaija... Ni risk takers hawa binadamu
Wauwaji hawa
 
Malezi yako mabovu ndiyo yaliyochangia kumharibu mwanao, usisingizie wauzaji wa madawa.
usiseme hivyo ndg.
sio vijana wote wanaoingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya walipata malezi mabovu toka kwa wazazi wao.

miaka kadhaa iliyopita, mtoto wa sheikh mmoja maarufu jijini dar, aliingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya. alilelewa katika misingi na maadili yote muhimu ya kidini na alitimiziwa kila hitaji lake, ila mwisho wa siku akaishia kuwa teja.
 
Hongera sana Mamlaka. Chapa Kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini haiwezi kushep tabia ya mtu bali, usimamizi na uwalimu mzuri wa kumuonesha mtoto hadi awe kijana mambo mazuri na mabaya anayotakiwa kuepuka, hebu niambie shekhe ana wake wangapi na wanawatoto wangapi je anakaa na vijana au watoto wake kuwakanya mambo ya hovyo ya dunia?
 
Hongera sanaaaa woote walihusika kukamata hawa wanyama na wauwaji wakubwa
Tuendelee kumuomba mungu atunusuru kwenye hili na pia kwenye corona na mengine ameen
 
Dini haiwezi kushep tabia ya mtu bali.

dini inahusika sana katika ku-shape moral behavior ya mtu. the impact can be positive or negative.

osama bin laden mtoto wa mtu tajiri saudi arabia, katika makuzi yake alipata malezi mazuri sana ya kidini. pia alipata maarifa makubwa ya elimu za kudunia. ila mwisho wa siku akaishia kuwa gaidi aliyetikisa dunia.

usidharau dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…