Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Unafikiri pesa ya utumishi wa umma inatosha ? Labda awe mwanasiasa
 
Hii habari imefichwa kitu kulinda maslahi ya watu fulani.Mbona hatu ambiwi mzigo huo uliingia kwa njia gani hapa Bongo,tunaambiwa kushikwa kwake tu hiyo mitego iliweka bila kujua mzigo ulikotokea?Mbona mnatupa habari nusu nusu
 
Hii habari imefichwa kitu kulinda maslahi ya watu fulani.Mbona hatu ambiwi mzigo huo uliingia kwa njia gani hapa nchini,tunaambiwa kushikwa kwake tu hiyo mitego iliweka bila kujua mzigo ulikotokea?Mbona mnatupa habari nusu nusu
 
Atakua Don Segerea. Mpaka atoke lazimanaukwae unyapara. Halafu siku hizi hakuna kupelekeana chakula. Uwe Don, uwe mnaija au mngoni. Wote ugali nyama asubuhi na jioni.
Sasa librarian Hana pesa , no safari no per diem , may be Kama Mzee wake aliacha vitu ndio ategemee anyway hiyo sio excuse ya kufanya hivyo alivyofanya
 
Kuna watu walishaathirika na madawa ya kulevya ukifuatilia utagundua kuwa malezi ya wazazi yalikuwa siyo

Hongera kwa kulea watoto wako vizuri mkuu, suala la malezi lina mambo mengi, katika hatua fulani linahusisha mtoto mwenyewe, mzazi na jamii pia. hujawahi kuona familia ya watoto wa nne, watatu wana maadili mmoja ameshindikana kabisa, Hilo pia unalisemeaje? Kwamba wengine walilelewa vizuri huyu mwingine aliachwa?

Be realistic, haufahamu kuwa kuna mitaa watoto wanaokua huwekwa kwenye target kwa namna yoyote ili wanaswe wawe wateja? Kuwa serious kidogo kujadili mambo wide kwa mtazamo finyu.
 
Acha kulialia, ukweli unabaki kuwa huo...mtu akikosa malezi bora, ilaumiwe familia yake kwa tabia yoyote mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyo Professor Amoni Mbele ni ndugu na Professor Joseph Mbele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…