Tabia zako mbaya za ukubwani usije ukawabebesha wazazi wako lawamaAcha kulialia, ukweli unabaki kuwa huo...mtu akikosa malezi bora, ilaumiwe familia yake kwa tabia yoyote mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna watu wanakulia nyumba moja, malezi yale yale ila mmoja anatumia unga mwingine Padri.Embu fafanua ni aina gani ya malezi inayompelekea mtoto kuingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya
Kuna familia nazifaham watoto malezi mazuri kabisa mmoja kaenda kusoma India karudi teja. Mwingine kaenda Malaysia karudi punga.Kuna watu walishaathirika na madawa ya kulevya ukifuatilia utagundua kuwa malezi ya wazazi yalikuwa siyo
Ukikua utajijibu hili swali lako
How sure are you??? Mahitaji ya mtoto ni zaidi ya chakula kizuri na malazi.usiseme hivyo ndg.
sio vijana wote wanaoingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya walipata malezi mabavu toka kwa wazazi wao.
miaka kadhaa iliyopita, mtoto wa sheikh mmoja maarufu jijini dar, aliingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya. alilelewa katika misingi na maadili yote muhimu ya kidini na alitimiziwa kila hitaji lake, ila mwisho wa siku akaishia kuwa teja.
Umeandika point SanaHongera kwa kulea watoto wako vizuri mkuu, suala la malezi lina mambo mengi, katika hatua fulani linahusisha mtoto mwenyewe, mzazi na jamii pia. hujawahi kuona familia ya watoto wa nne, watatu wana maadili mmoja ameshindikana kabisa, Hilo pia unalisemeaje? Kwamba wengine walilelewa vizuri huyu mwingine aliachwa?
Be realistic, haufahamu kuwa kuna mitaa watoto wanaokua huwekwa kwenye target kwa namna yoyote ili wanaswe wawe wateja? Kuwa serious kidogo kujadili mambo wide kwa mtazamo finyu.
Sio kweliHow sure are you??? Mahitaji ya mtoto ni zaidi ya chakula kizuri na malazi.
Wazazi/walezi wengi wanafeli kwenye kuhakikisha watoto wao wako owwkey psychologically. Ukiangalia watu wengi wanaojiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya huwa na matatizo ambayo ni Psychological & emotional more than anything else. Hata wale ambao hujiingiza tu kwa ushawishi(bendera fuata upepo) huwa wana-lack self-esteem & the confidence to make their own decisions bila kujali ushawishi wa nje, peer pressure and so so.
Kwani pesa Ina sura ? Kina sadio mane wa wenzake Wana sura za pesa ?Ila ajabu sura zao hazifanani na hizo pesa.
Malezi yako mabovu ndiyo yaliyochangia kumharibu mwanao, usisingizie wauzaji wa madawa.
cocaine je?Ila ajabu sura zao hazifanani na hizo pesa.
Na ingelikuwa ni China, huo ungelikuwa ndiyo mwisho wao.Wanaigeria bongo wanatutesea watoto wetu
Mkuu kwa hesabu hiyo unamaanisha debe1 la mahindi ni zito kuliko debe la maharagwe, kitu ambacho siyo kweli.Kilo 270 ni sawa na debe 13.5 za mahindi sawa na pipa la debe kumi na mbili. Hao ni wauaji wa watoto wetu
Perhaps ma punda!Kg270 duh hatari sana, mbona wahusika na mazingira yao hawafanani na kumiliki hizi 270kg..
Wana mng'ao wa pesa.Kwani pesa Ina sura ? Kina sadio mane wa wenzake Wana sura za pesa ?
Hawaelekei kabisa, hao inawezekana hiyo biashara imepita tu kwao ila sio yao.cocaine je?
Hawaelekei kabisa, hao inawezekana hiyo biashara imepita tu kwao ila sio yao.
Mwanao kajiharibu mwenyewe,ulimpa malezi mabaya,hukuwa nae karibu,unga ndio uliokuwa unamfariji,ungekuwa karibu na mwanao yasingelimkuta yaliyomkuta,..tafakari