MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Mkimaliza kuchaguana mtandaoni...
Sasa kesho na mm nafanya yangu
Sasa kesho na mm nafanya yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kauli hii umejionyesha ni mtu wa aina gani haiwezekani umtukane mwanamke mwenzio matusi Makali ya namna hiiNdio mimi ni mwanamke kama mamako na mkeo na dadazako..... Sasa wewe ulitaka nicoment unini nini??
Halafu usipende kupatukana ulipotokea wakati wa kuzaliwa na unapopenda kupatumia ukiwa na mkeo.
Vinginevyo uniambie kama wewe uko rasmi kwenye zile faraghadume
Kuvua nguo huo ni umalaya wako tuu, usitafutie sababu hapaLissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% ,
Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Tanganyika Packers , Jimbo la Kawe , na taarifa inaonyesha kwamba maandalizi yote yamekamilika.
Kama Kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea kila kinachojiri kwa kila nukta , endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za Uhakika
" RAIS MPYA OYEEE , TANZANIA MPYA OYEEE "
==========
Taarifa kutoka Kilimanjaro Airport zinadokeza kwamba Mamlaka ya anga imechelewesha makusudi kibali cha Lissu kutua DSM , Hata hivyo Lissu amelazimisha kuruka bila kibali hicho ili kuwahi mkutano Jijini DSM , amesema Liwalo na liwe .
Hii njama ya kishamba ndio ilitumika kumzuia Lissu kutua Mtwara , lakini safari hii imegonga mwamba
Halima Mdee: Wamesha tepeta. Wanabadilisha majina tu, Mara Rashida. Kawe hatujawahi kupata Ushindi kilahisi. Kesho hadi kesho kutwa ndo kazi tutafanya. Kwenye Kampeni ilikuwa kawaida.
Boniface jacob: Wasiwadanganye, eti mkichagua Upinzani hawaleti Maendeleo. Ile flyover ya Ubungo ipo Chato? Barabara ya njia nane ipo Chato? Vyote vipo Ubunge na Mimi ndo nlikuwa Meya.
Mke wa Lissu: Kazi tumeifanya kilichobaki ni kesho. Kesho tukachague Madiwani, Wabunge na Tundu Lissu.
Tanzania tunayoipenda Imeugua kwa Miaka Mitano
Mnyika: Kuna mbinu chafu za kutaka Lissu Asishinde.
1. Nmedokezwa, kuna njama za kuzuia mawakala wetu kuingia kwenye vituo vya kupigia kura mapema. Muda wa kubembeleza Tume umekwisha Jana.
2. Wanataka Mawakala wetu wasiingie na simu. Nasema mawakala wetu waingie na simu. Kanuni kazijakataza.
3. Sirro kasema wakipiga kura watu waende nyumbani. Nasema tukipiga kura hakuna kwenda nyumbani.
4. Wamepanga kutompa wakala fomu ya matokeo na kubandika matokeo feki. Nasema hivi hakuna msimamizi kuondoka hadi Wakala wetu apate fomu ya matokeo.
5. Kanuni inasema watu waanze kutangaziwa kura za urais. Wamekuwa wakianza na diwani.
Magufuli alijua Tume itahesabia kura dodoma. Akakimbilia Dodoma. Majumuisho kitaifa yatafanyikia hapa Dar. Watu wa Dar tutaongozana kwenda mjini Centre kuhakikisha matokeo yanatangazwa.
Salum Mwalim: Nchi hii tumeona kuna shida ya maji.
Wachimbaji wadogo wanaminywa.
Majengo ya Hospital hayana Madawa, vitendea kazi wala Wataalam
Wafanyabiashara wanaingiliwa kwenye account zao na kuchukuliwa pesa zao.
Mzazi akijifungua hakabidhiwi mtoto hadi ajifungue(Tabora hupewi mtoto hadi ulipie elfu 45 hadi elfu 50)
Wafanyakazi hawajaongezewa mishahara.
Watu wanalazimika kuhamisha mitaji yao.
Makampuni mengi yamefungwa. Kila kazi ni JKT.
Muda kwa kufanya maamuzi ni kesho. Kesho tukapige kura.
Magufuli ameshaanguka. Ni kwenda kumaliza kazi. Waliosema haiwezekani, imewezekana.
Nawashukuru sana Watanzania pote nilipopita wakati wa Kampeni. Nashukuru chama changu. Tunawatakia Uchaguzi mwema kesho
Kila mtu ajiandae kisaikolojia kwamba rais anayekuja na Tundu Lissu
====
Tundu Lissu: Tumerudi tena baada ya miezi Miwili.
Kesho ni siku ya hukumu. Kesho ni judgement day.
Viongozi wa vita katika zama zote za kihistoria. Wamekuwa wakiwaandaa watu wao kwenda kwenye Mapambano ya mwisho.
Naomba nizungumze nanyi ili kuwaandaa kwa siku ya hukumu ya kesho.
Baada ya mazungumzo na Watanzania Nchi nzima. Hakuna mkoa ambao hatujaenda. Baada ya kuwasikiliza wananchi wa Tanzania na baada ya kuwaeleza maono yetu. Hiki nacho taka kukieleza ni hoja za Mwisho.
Katika miezi hii miwili, tumeona na kusikia mambo mengi sana. Tumefundishwa mambo mengi sana na Watanzania. Na sisi tumefundisha kiasi.
Imenithibitishia kwamba wala Watanzania sio wajinga, sio waoga sio kwamba hawajui kinacho endelea.
Watanzania Wamechoka, wana hasira na wapo tayari kwa siku ya kesho.
Baba mwamakula tumekuwa naye muda wote, shehe Rajab Katimba tumekuwa naye, Shehe Ponda Issa Ponda tumekuwa naye katika safari hii. Tuwapigie Makofi viongozi wetu wa kiroho. Asanteni kwa kutuombea. Tuwashukuru Madereva, Walinzi. Bila wao watanzania wangetugawana.
Kampeni yetu haikuwa rahisi. Namna peke ya mawasiliano ilikuwa mtandao yakijamii. Vyombo vingine, TV, Magazeti, yaligoma kuonesha mikutano yetu.
Nashukuru wandishi wa habari wa Mitandaoni.
Historia itarekodi, hatukwa na mabango ya mhombea urais hata moja. Watanzania walikuja wenyewe kwenye mikutano yetu. Licha ya mapungufu ya Rasilimali, tuliwakimbiza mchaka mchaka. Licha ya Umasikini wetu wa rasilimali kweye mahakama ya Umma tumewapiga CCM.
Yule ambaye alikuwa mbabe kwa miaka mitano safari hii amepiga magoti
Yule anayejifanya Mbabe, leo kashindwa hata kufanya mkutano wa kufunga Kampeni.
Yule mwenye vyuma mwilini, bado nipo fiti hata mkiongeza wiki mbili.
Watu zaidi ya 400 wameuawa. Mkuranga kibiti rufiji Kilwa, watu zaidi ya 400 wameuawa na Serikali haijawahi kusema. Wamekufa katika kipindi cha miaka 5. Nani anayesema hiyo ni amani.
Wilaya ya Nkasi mpaka kigoma, wavuvi wanauawa na Askari wa Tanapa wanatumbukiwa Ziwa Tanganyika.
Ukanda wa ziwa Victoria Misenyi kadi sirari ni misiba kila mahali.
Tulienda nyumbani kwa Magufuli Chato. Tumepewa majina ya wavuvi 62 wameuawa baada ya kwenda kuvua samaki kisiwa cha Rubondo.
Tumekwenda Nkome Geita vijijini. Wakatuambia hapa Nkome Wavuvi wanapigwa risasi wanatumbukizwa majini.
Kama hii ndio amani, tutafute maana nyingine.
Kuna kilio cha wafugaji wanatupwa Mtoni, huliwa na mamba. Ukisema amani wakati watu wanakufa hivi maana yake unataka yaendelee.
Wakulima, wavuvi wafugaji ni Masikini watupu.
Mtwara walipelekewa Majeshi kisa Korosho yao. Watu wakapigwa, wakauawa kisa korosho
Wataalam wetu wametuambia kesho Watanzania watapiga kura, kuiondoa CCM madarakani. Wataalam wetu wamesema Kati 65% hadi 70% Wataikataa CCM.
Wataalam wetu wamesema tutapata Wabunge wengi kuliko CCM.
Idaddi ya jumla ya kura ya Wabunge wetu, watapigiwa kura nyingi kuliko ya CCM.
Kesho ni D day. Judgment day.
Askari wetu wa kwanza ni Mawala wetu.
Tunawategemea Mawakala wetu. Tunawatazamia wawe macho kuliko kipindi kingine chochote
Tuwalinde Mawakala wetu tukiwa nje ili watulindie kura zetu. Mawakala wakivurugwa wasaidieni..
Tunaambiwa kuna kura zimeshapigwa na kuhesabiwa tayari.
Tunaambiwa tume tayari ina kura milioni 12 za Magufuli na Mil 3 za Magufuli. Na Watatangaza tarehe 29.
Kama hii ikitokea tarehe 29 wakatangaza matokeo ujue huo ni wizi ingieni barabarani mdai haki zenu. Msisubiri Tundu Lissu aseme, ingieni barabarani nchi nzima.
Kutangaza matokeo wakati majumuisho hayajaisha kwenye majimbo, ni kuleta fujo.
Jaji Mihayo na Mahera mnaingia ICC.
Wakitangaza matokeo tarehe 29 waksti maheabu hayajakamilika, ingieni barabarani. Msisubiri Lissu wala Mbowe aseme.
Wanategemea Jeshi. Polisi wamedhurumiwa kwa miaka mitano. Wanajeshi wanaolinda mipaka yetu wamekatwa hela za chakula.
Narudia wito wangu kwa wanajeshi wa nchi hioi
Kumbukeni kiapo chenu mbele ya baba wa Taifa. Kwamba nyie ni jeshi la watanzania na hamtageuza Silaha zenu kwa Watanzania.
Tuachieni Maguli tumalizane kesho
Hao wanaowatuma kuwaua watu Zanzibar. Nmeomba Mawakili wangu waandike barua. Nmemuagiza Bob Amsterdam aandike barua kwenda ICC kuanza Uchunguzi kwa haya mauaji ya Zanzibar.
View attachment 1613407View attachment 1613435View attachment 1613778View attachment 1613797View attachment 1613798View attachment 1613836View attachment 1613837View attachment 1613838
View attachment 1613844
Kwa kauli hii umejionyesha ni mtu wa aina gani haiwezekani umtukane mwanamke mwenzio matusi Makali ya namna hii
Kuvua nguo hadharani itakuwa ni tabia yako tu ya kudanga na umalaya wala usimsingizie Tundu Lissu.Lissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
Kuvua nguo huo ni umalaya wako tuu, usitafutie sababu hapa
Wanawake wenzio wanaojitambua hawawezi kuwa kama wewe ina maana hauna mume au boyfriend wa kukuridhisha ukatoa stress?Hakuna niliyemtukana ila nimekueleza maana halisi ya yale uliyoniambia mimi ukidhani unanitukana.
Siku nyingine usimtukane dada kwa kutumia yale maneno, uwe unamjua au humjui. Heshma kitu cha bure
Wanawake wenzio wanaojitambua hawawezi kuwa kama wewe ina maana hauna mume au boyfriend wa kukuridhisha ukatoa stress?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] between you and me nani anaongea pumba humu?Unavyoona naweza kuwa sina mume[emoji16]
Ninae mume anayejielewa sana mwenye heshma zake zote toka kwangu ambaye hajawahi ongea yale maneno uliyotype hapa.
Siasa ni kazi sio stress sasa ila nimegundua wewe stress ndio zinakuleta jf ndio maana unaishia kutukana hapo nyuma ya keybord.
Ushatukana tena. Kwa hiyo sasa ndio umeamua ujitukane mwenyewe😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] between you and me nani anaongea pumbu humu?