Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

I understand. Hata simu za kutoka nje haziendi huko Tanzania. Tuko kwenye udikteta. Kila la heri huko. You have all my support.
Weka bundle wewe acha ubahili Mimi Niko naongea na mtu Marekani muda huu
 
Sheikh Ponda anasema CCM ikikataa kushindwa option ya pili ni kuingia msituni
Haya maneno magumu sana pale yanapotamkwa na anayejiita kiongozi wa dini.
Ponda ataingia msituni na nani? Au keshaandaa kikundi cha kigaidi
 
Lissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
Hii comment yako nimei screen shot kabisa,ili kuanzia November 1 ..usivue nguo hadharani njoo uvue chumbani kwangu
 
Lissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
we sikushangai kwa kuwa nakufahamu mbona nguo umevua sana hadharani
kwa hiyo hata ukivua watu hawashangai kwa kuwa u.c.h... wako hauna thamani zaidi zaidi ni kinyaa tu
 
Ccm inapaswa kuondoka kwa sanduku la kura kesho
 
Watu zaidi ya 400 wameuawa. Mkuranga kibiti rufiji Kilwa, watu zaidi ya 400 wameuawa na Serikali haijawahi kusema. Wamekufa katika kipindi cha miaka 5. Nani anayesema hiyo ni amani.
Hili suala siyo la kulitumia kama kete ya kisiasa.
Hapa LISSU na CHADEMA wanajiingiza kwenye mgogoro mkubwa sana hapo baadaye kama watashinda.

Kumbukeni suala la mahakama ya kazi lilivyo muingiza Kikwete Ikulu na likaja kumletea shida Sana akiwa madarakani kiasi Cha serikali yake kuwaingiza rumande viongozi wa wanaodai mahakama ya Kashi kibabe.
 
Watanzania twendeni tukajipe furaha kesho baada ya Miaka 5 ya kuwa gizani[emoji1][emoji123]
 
Huko msituni kama anaenda ponda, tundu, wewe na familia zenu hamna shida. Mtafute msitu mzuri ambao sio hifadhi ya serikali mkaharibu mazingira
Kila sehemu unacomment umaku umaku halafu ni mwanamke inasikitisha mwanamke kukoment umaku umaku
 
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Tundu Antipas Mughwai Lissu! Kesho nampigia #Yeye, nampigia mbunge wangu Rebeka, na ili kuonesha msisitizo kwenye diet ya kesho, lazima mlenda uwepo!
 
Back
Top Bottom