Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Kura zetu tunampa Lissu. Nyie za kwenu mnapata toka NEC.
Simpi Kura si Kwa sababu ninachuki naye, hapanaa, Bali karudi akiwa amebadilika na haeleweki kabisa kiasi cha kusema, ni dhahili katumwa na amekwisha chukua chake tayari kutufanya kuwa koloni la Mabeberu tena!!

Kwa nini kupoteza Kura yako ewe Mtanzania???

Mpe JPM Kura yako Ili tujenge Taifa lisilotegemezi
 
Ha ha ha ha, kuna watu mmepungukiwa akili kwelikweli. Watanzania sio wajinga, hawawezi chagua utopolo kwenda ikulu never. Sio anti pas, sio maalim bali hata madiwani tu mtapata kwa mbindeSana. 2025 hili genge la Mbowe litakuwa kama ADC, AFP, CHAUMA etc.
Mlisema mwaka huu Chadema itakuwa imekufa, kiko wapi???
Amini nakwambia, kama Mungu aishivyo, Ccm ndo inakufa na Chadema haitokufa kamwe
 
Kesho atatutambua wa Kawe! Hatuna mpango na Mdee kabisaaaa! Angalia watu waliohudhuria mkutano wao hapo Kawe leo. Kiduchuuu!!
Sauti ya Zege Halima Mdee kiboko "kwamba Rashida ataitwa joyce"
 
Chadema wabaguzi sana Lisu kaenda kawe mara mbili lakini hajakanyaga Ukonga....ndo mshangaee
 
Lissu ni kwa 2025 sahivi anaandaa njia tu!
Lissu anaondoka hivi karibuni kurudi Ulaya kuendela na mradi wake wa kuchuma pesa kutoka kwa akina Amsterdam kama mwanaharakati wa kujitegemea wa haki za mashoga, vinginevyo, hana njia mbadala ya kusurvive Ubelgiji kama diaspora. Huu ndio mwisho wa Lissu KISIASA!
 
Back
Top Bottom