Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Hii tabia ya kudharau wataalamu wetu huyu Lisuu akipata shida mtamlaumu nani? Asikilize wataalamu aache jeuri.

Kama anawapuuza wataalamu ndio atatusikiliza wananchi wake kweli?

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Lissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
Huwezi kuvua nguo hadharani kwa sababu wewe siyo chizi, kamuulize Lugola atakuambia jinsi ilivyo ngumu kwa mtu mwenye akili timamu kufanya kitendo kama hicho.
 
Hivi kwa hila za Tume-ccm kwenye karatasi halisi ikatokea kwamba jina la mwisho likawa la Lipumba + cuf na jina la Lissu + chadema kuwekwa chini ya "chama cha demokrasia makini" ili kuvuruga wapiga kura kuna hatua zozote za kisheria za kuweza kuchukuliwa?..
Uko sahihi. Mimi pia nawaza kitendo tu cha kumuweka mwisho kwenye karatasi wakati mtu anascrow down akiona demokrasia makini anaweka tick na kuondoka.

Wamefanya makusudi kabisa

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom