Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Mitano tena/Migwala Tena/Mi Five tena,Mkono tena nyie pigen kura Jamii forum sisi tunamchinja Shoga kesho
 
Kwa kauli hii umejionyesha ni mtu wa aina gani haiwezekani umtukane mwanamke mwenzio matusi Makali ya namna hii
 
Kwa kauli hii umejionyesha ni mtu wa aina gani haiwezekani umtukane mwanamke mwenzio matusi Makali ya namna hii

Hakuna niliyemtukana ila nimekueleza maana halisi ya yale uliyoniambia mimi ukidhani unanitukana.

Siku nyingine usimtukane dada kwa kutumia yale maneno, uwe unamjua au humjui. Heshma kitu cha bure
 
Hakikisha kesho unaweka tiki kwa mgombea wa mwisho kabisa. Popote ilipo alama ya chadema wewe weka tiki tu hakuna namna, yani ni tiki tu ..mimi zimefika singida hapa nilipojiandikisha ..kwenye ni mwendo wa kuweka tiki tu..

#NIYEYE
 
Kesho watanzania tunaenda na lissu .

Ni yeyeeee
 
Kuvua nguo huo ni umalaya wako tuu, usitafutie sababu hapa

lkn hautapata bahati ya kumuona mtoto mzuri na mrembo kama huyo siajabu maisha yako yote, hivyo unaweza tu kubahatika kama tundu akivuka 10%, ...
 
Hakuna niliyemtukana ila nimekueleza maana halisi ya yale uliyoniambia mimi ukidhani unanitukana.

Siku nyingine usimtukane dada kwa kutumia yale maneno, uwe unamjua au humjui. Heshma kitu cha bure
Wanawake wenzio wanaojitambua hawawezi kuwa kama wewe ina maana hauna mume au boyfriend wa kukuridhisha ukatoa stress?
 
Jamani kwa hali ilivyo mtaani 🤣🤣🤣🤣🤣MBELGIJI AKIFIKISHA KURA 1.5M NIPIGWE BAN MIEZI SITA

MAGUFULI4LIFE.
 
Wanawake wenzio wanaojitambua hawawezi kuwa kama wewe ina maana hauna mume au boyfriend wa kukuridhisha ukatoa stress?

Unavyoona naweza kuwa sina mume😁
Ninae mume anayejielewa sana mwenye heshma zake zote toka kwangu ambaye hajawahi ongea yale maneno uliyotype hapa.

Siasa ni kazi sio stress sasa ila nimegundua wewe stress ndio zinakuleta jf ndio maana unaishia kutukana hapo nyuma ya keybord.
 
Yaani uncle magu, uanze kukusanya kabisa mafile yako hapo chamwino. This time tunaenda na Lissu yaani huwezi amini
#Niyeyee 2020
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] between you and me nani anaongea pumba humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…