Bro hiyo Ni picha yako profile??una hulka za kigashooo..nmekusifia lakini..Ni yeyeeHakikisha kesho unaweka tiki kwa mgombea wa mwisho kabisa. Popote ilipo alama ya chadema wewe weka tiki tu hakuna namna, yani ni tiki tu ..mimi zimefika singida hapa nilipojiandikisha ..kwenye ni mwendo wa kuweka tiki tu..
#NIYEYE
AminaMungu mbariki Tundu Antiphas Lissu, muwezeshe na fanya ashinde Uchaguzi wa kesho dhidi ya CCM na Magufuli na awe Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 kwa Jina la Yesu.
Keyboard haina mfupa😂Ushatukana tena. Kwa hiyo sasa ndio umeamua ujitukane mwenyewe😂😂
Haya buana ila mimi sijaongea kama ulivyoandika hapo
Wacha kabisa😂😂keyboard haina mfupa😂
Waganga 900Hivi ww unaamini kabisa Magufuli alimuomba Mungu wa kweli kuponya Corona? Inaonekana hujui politics wewe.
Yule mzee amezindikwa na majini kila kona kma Mungu akishuka kweli sidhani kma angekua hai mpaka leo.
Acheni kumchezea Mungu kwenye siasa zenu.
Kwa kuwa tayari jamaa ni mteja wa ICC kupitia matukio ya visiwani, HAKUNA shakaHivi, itawezekana kweli kumfurusha yule jamaa!??
Una nini lakini😂😂😂😂😂Bro hiyo Ni picha yako profile??una hulka za kigashooo..nmekusifia lakini..Ni yeyee
Mkuu, usivue hadharani.. Nakukaribisha😃Lissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani.
.Una nini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio stress juu hujui tuu
Warembo.... Mashallah
Asubutuuuu. Baada ya matokeo View attachment 1613989