Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Hakikisha kesho unaweka tiki kwa mgombea wa mwisho kabisa. Popote ilipo alama ya chadema wewe weka tiki tu hakuna namna, yani ni tiki tu ..mimi zimefika singida hapa nilipojiandikisha ..kwenye ni mwendo wa kuweka tiki tu..

#NIYEYE
Bro hiyo Ni picha yako profile??una hulka za kigashooo..nmekusifia lakini..Ni yeyee
 
Hivi ww unaamini kabisa Magufuli alimuomba Mungu wa kweli kuponya Corona? Inaonekana hujui politics wewe.

Yule mzee amezindikwa na majini kila kona kma Mungu akishuka kweli sidhani kma angekua hai mpaka leo.

Acheni kumchezea Mungu kwenye siasa zenu.
Waganga 900
 
Una nini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio stress juu hujui tuu
.
FB_IMG_1603805723417.jpg
 
Back
Top Bottom