Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu


Heri ya mabeberu kuliko wakoloni weusi, mabeberu uleta maendeleo mkoloni mweusi uleta umasikini na mateso
 
Kuna kula dalili kuwa muda sio mrefu kitanuka hapa tanganyika packers, muda huu walinzi wa mwamposa wanarumbana na wafuasi wa chadema wakiwazuia wasijikinge mvua kwenye kanisa lao
Kabla hajaenda kuhutubia Kawe ahakikishe msafara wake umepita Bunju,umepita Goba,Umepita Manzese umepita Mburahati Tabata then jioni aende kufunga Kampeni Kawe.Magari ya M4C yakiwa na Bendera yapite mtaani kote kukumbusha wananchi kuwa leo ndo ile siku ya kufunga kampeni
 
Hata usipo kuwepo wewe ,Lissu ni RAIS ajaye!Post zako zinaonesha wewe ni Malaya wa kisiasa period.
Wewe ni miongoni mean wanaCCM wenye roho mbaya
Mmoja wapo kwwnye kamati ya roho mbaya huyu Jamaa.
 
Hata usipo kuwepo wewe ,Lissu ni RAIS ajaye!Post zako zinaonesha wewe ni Malaya wa kisiasa period.
Wewe ni miongoni mean wanaCCM wenye roho mbaya
Ni Rais wa Vilaza labda na sio Watanzania Never
 
Kama tu kuandika kunakushinda! Utaelewa kweli nini Maana ya Beberu?

Uleta ndo nini??
Hao mabeberu wapo afrika pekee? Mbona nchi zingine zinamaendeleo?
Acheni kutafuta visingizio juu ya kushindwa kuwaletea watu maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…