chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Awachelewi kubadili wakamuweka Kati Hawa kuwahadaa watu
Sijui kwanini wanacheza rafu kiasi hiki Magufuli hajiamini kabisaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awachelewi kubadili wakamuweka Kati Hawa kuwahadaa watu
Mbona leo hakuna tambo za picha "Hata angle moja tu" kuonesha mmejaza!Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% ,
Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Tanganyika Packers , Jimbo la Kawe , na taarifa inaonyesha kwamba maandalizi yote yamekamilika.
Kama Kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea kila kinachojiri kwa kila nukta , endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za Uhakika
" RAIS MPYA OYEEE , TANZANIA MPYA OYEEE "
View attachment 1613435
View attachment 1613407
==========
Anaenda kugalagazwa asubuhi tu huyu🤣,lissu hawezi na hafai kuwa Rais.Amin
Hakika huu ni mwaka wa mabadiliko
Analolipanga Mungu, hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulipangua.
Hakika Mungu amembariki Tundu Lissu na amempa kibali cha kuwa Rais mpya wa Taifa letu
Ni Baraka ya Lisu kufungia mkutano dar, nasikia pesa za kusomba watu dodoma zimeisha thus amtofunga kampeniMVUA NYESHAAA NYESHAAAAAAA NYESHAAAAAAAAA NYESHAAAAAAAAAA
kura ya mgombea urais ZANZIBAR inapigwa lini?Mungu ibariki CHADEMA , Mungu mbariki Tundu Lissu
Ndiyo vizuri kibaraka wa mabeberu ashindwe kukamilisha kampeniHii mvua nayo imekuja kuharibu kila kitu..
Asante mkuu Kwa kuukubali ukweliNitakuwepo, ila tumeshashindwa!
Ndiyo vizuri kibaraka wa mabeberu ashindwe kukamilisha kampeni