Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Ayee
20201027_103845.jpeg
 
Tunamtakia Kila la Heri Rais wetu wa awamu ya sita Mh Tundu A. Lissu......Watanzania walio wengi wameumizwa sana na utawala unaomaliza muda wake ila wanyonyaji wachache tu ndiyo hawaelewi.......

Mkuu Erythrocyte asante sana kwa taarifa toka mwanzo wa kampeni hadi sasa, pamoja na kamanda Molemo na wengine wote waliotuhabarisha kuhusu kampeni za Mgombea wa Urais kupitia CDM.

Pamoja na vyombo vyote vya Habari kupigwa mkwara na waandishi wao Kufyata kuna wengine waliamua kusonga mbele.
Amina
 
Twitter imeshapigwa pini, ila wapigaji wa kura tunajua ni wapi kura zetu zinakwenda, kuna hatari wale waliojipanga kuiba kura kuzitolea kwenye matundu yale manne.
 
Kuna kila dalili kuwa muda sio mrefu kitanuka hapa Tanganyika packers, muda huu walinzi wa mwamposa wanarumbana na wafuasi wa CHADEMA wakiwazuia wasijikinge mvua kwenye kanisa lao
 
Back
Top Bottom