Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Yaani Lissu muonekano wake tuu unaonesha Tanzania ijayo yenye Furaha Upendo na Matumaini.
Yaani uongozi unamtaka yeye zaidi kuliko yeye kuutaka uongozi. Ni watu wachache sana huzaliwa na Mvuto wa namna ya Lissu.
Mung awabariki Mabeberu kwa kumtibu Rais wetu mpendwa.
Kesho ndo watajua Mataga kuwa hawajui.
 
Ni kweli hata kura za maoni kutoka shirika la utangazaji la voice of America/VOA zinaonesha Mh Lisu anashinda kwa asilimia 71%
Enyi watanzania bara na visiwani, piga kura linda kura! Usitishwe sababu kifo kipogo siku zote na hakuna mtu ambaye hatopatwa na umauti.
Awe polisi, Bia yetu, magufuli au yeyote yule lazima atakufa tu!
Screenshot_20201027-113223.png
 
Ha ha ha ha, kuna watu mmepungukiwa akili kwelikweli. Watanzania sio wajinga, hawawezi chagua utopolo kwenda ikulu never. Sio anti pas, sio maalim bali hata madiwani tu mtapata kwa mbindeSana. 2025 hili genge la Mbowe litakuwa kama ADC, AFP, CHAUMA etc.
 
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
USIPOTEZE WAPIGA KURA WEWEE... WAELEKEZE KABLA YA KUPIGA HIYO TIKI☑️ WAANGALIE VIZURI KWA KUSOMA JINA NA KUIANGALIA PICHA JE NDIO YENYEWE ANAYOIPIGIA??
HAWA WAHUNI HAWACHELEWI KUBADILISHA JINA BADALA KUWA MWISHO WATAWEKA KATIKATI ILI KUPOTEZA WALE WANAOKURUPUKA KWA KUWEKA TIKI BILA KUANGALIA.
KITAKACHOTOKEA.... FOMU HIZO JINA LA LISSU LILIPOWEKWA MWISHO WATABADILISHA LITAWEKWA KATI KATI ILI KUKUPOTEZA WEWE MKURUPUKAJI.
KUWENI MAKINI WAKATI WA KUPIGA HIYO KURA SOMA JINA ANGALIA PICHA NDIO YENYEWE KISHA NDIO UNATAYARISHA KICHINJIO VIZURI
'''UNACHINJA TARATIIIBUU''' #NIYEYE2020 TUNDU LISSU☑️
 
Ni kweli hata kura za maoni kutoka shirika la utangazaji la voice of America/VOA zinaonesha Mh Lisu anashinda kwa asilimia 71%
Enyi watanzania bara na visiwani, piga kura linda kura! Usitishwe sababu kifo kipogo siku zote na hakuna mtu ambaye hatopatwa na umauti.
Awe polisi, Bia yetu, magufuli au yeyote yule lazima atakufa tu!View attachment 1613537
Utaanza kuonyesha mfano wa kufa kamanda, wewe na familia yako pamoja na kina Mbowe na genge lake. Watanzania tunakwenda kuchagua amani na maendeleo. Watanzania hawataenda barabarani, hawata Linda kura, hawatatoka kushabikia mashoga na wasagaji mkiamdamana. Mwenzenu anayo ticket tayari ya 18/12. Wewe Mwana wa mbonde utang'olewa macho ule na wa kwenu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
 
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
WAMESTUKA WAMEBADILISHA JINA LA RAIS LISSU WAMELIWEKA KATIKATI
 
Utaanza kuonyesha mfano wa kufa kamanda, wewe na familia yako pamoja na kina Mbowe na genge lake. Watanzania tunakwenda kuchagua amani na maendeleo. Watanzania hawataenda barabarani, hawata Linda kura, hawatatoka kushabikia mashoga na wasagaji mkiamdamana. Mwenzenu anayo ticket tayari ya 18/12. Wewe Mwana wa mbonde utang'olewa macho ule na wa kwenu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
Acha kelele kama vipi ukishapiga kura kajifungie ndani na mume wako kama ccm wanavyowadanganya
 
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
Awachelewi kubadili wakamuweka Kati Hawa kuwahadaa watu
 
Back
Top Bottom