Izi ata mimi nashindaNi kweli hata kura za maoni kutoka shirika la utangazaji la voice of America/VOA zinaonesha Mh Lisu anashinda kwa asilimia 71%
Enyi watanzania bara na visiwani, piga kura linda kura! Usitishwe sababu kifo kipogo siku zote na hakuna mtu ambaye hatopatwa na umauti.
Awe polisi, Bia yetu, magufuli au yeyote yule lazima atakufa tu!View attachment 1613537
Asulubiwe asulubiwe!Siku ya hukumu kesho
Ndo utajua dunia inaongozwa na mifumo naShikilia hapohapo!!
Kesho tutawaonyesha Mabeberu kwamba, Sisi kama nchi iliyohuru, hatuwezi kuchaguliwa Raisi na wao
Wewe ni Mtanzania Mwenzetu kweli?Kama ni mnufaika na ukujenga jiandae kurudi home
Ikiwemo ya kwako. Asante sana kwa kura yako.Kesho atapata kura nyingi sana za mashoga
Yes ni bora tuwe vilaza kuliko kuongozwa na Mwenye roho ya ukatili ya Kihutu zaidi hata ya shetani.Aliyeuwa Ben Saanane,Azory na MawazoNi Rais wa Vilaza labda na sio Watanzania Never
Hivyo ulivyo vitaja katika jamii staarabu siyo vigezo vya kura kuharibika. It's so because of barbaric leaders.Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
Pamoja tunashinda!!
Mvua ni baraka mkuu tuifurahie hii mvua kungekuwa na upepo ningesikitika lakini mvua hizi ni baraka kutoka kwa MunguNaona wachawi wa mbogamboga wameandaa wingu ziiiito la mvua kutuharibia lakini watashindwa na tutawalegeza.
maCCM wameleta mvua kuhalibia Mungwai
Hawa VOA walioko kwenye simu yako, ni wapumbavu Sana aisee!!Ni kweli hata kura za maoni kutoka shirika la utangazaji la voice of America/VOA zinaonesha Mh Lisu anashinda kwa asilimia 71%
Enyi watanzania bara na visiwani, piga kura linda kura! Usitishwe sababu kifo kipogo siku zote na hakuna mtu ambaye hatopatwa na umauti.
Awe polisi, Bia yetu, magufuli au yeyote yule lazima atakufa tu!View attachment 1613537
Ungejua jinsi ulivyozaliwa!! usinge panua domo lako!! tunemjua baba tunakuangalia!Kesho atapata kura nyingi sana za mashoga
kaka hizo ni data zilizopatikana kwa kuangalia hali halisi ya wagombea na kampeni zao, hasira za nini.Hawa VOA walioko kwenye simu yako, ni wapumbavu Sana aisee!!