Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Ni kweli hata kura za maoni kutoka shirika la utangazaji la voice of America/VOA zinaonesha Mh Lisu anashinda kwa asilimia 71%
Enyi watanzania bara na visiwani, piga kura linda kura! Usitishwe sababu kifo kipogo siku zote na hakuna mtu ambaye hatopatwa na umauti.
Awe polisi, Bia yetu, magufuli au yeyote yule lazima atakufa tu!View attachment 1613537
Izi ata mimi nashinda
 
Naona wachawi wa mbogamboga wameandaa wingu ziiiito la mvua kutuharibia lakini watashindwa na tutawalegeza.
 
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.

Pamoja tunashinda!!
Hivyo ulivyo vitaja katika jamii staarabu siyo vigezo vya kura kuharibika. It's so because of barbaric leaders.
 
Ushoga hata serikali inauhimili. Nakumbuka Makonda alipoukomalia serikali ilimruka.
UshogaLetter.PNG
 
CCM wamekwama kabisa, Tundu Antipas Lissu is a game changer!!

Tuliyoyaona kuwa yameshindikana kabisa - sasa mbona ni mepesi sana, usicheze na Mungu wa mbinguni ewe mwanadamu - nani ambaye alitabiri miezi 3 kabla ya uchaguzi kwamba leo CCM itahaha hivi kujinusuru?
 
Ni kweli hata kura za maoni kutoka shirika la utangazaji la voice of America/VOA zinaonesha Mh Lisu anashinda kwa asilimia 71%
Enyi watanzania bara na visiwani, piga kura linda kura! Usitishwe sababu kifo kipogo siku zote na hakuna mtu ambaye hatopatwa na umauti.
Awe polisi, Bia yetu, magufuli au yeyote yule lazima atakufa tu!View attachment 1613537
Hawa VOA walioko kwenye simu yako, ni wapumbavu Sana aisee!!
 
Back
Top Bottom